Hili ndio swali ambalo huwa najiuliza kila nikiona mada/comment ya mlengo huo.
Je hawa wakaka na wababa wanaoamini kinachozungumzwa hapa, mabinti zao wanaishia la saba au form four ili wasikose vijana wakuwaoa huko mbeleni?? Na kuna jitihada wanazofanya kuhakikisha mabinti zao wanapata elimu itakayowasaidia kuwa aina ya wanawake (watiifu or possibly submissive kabisa, waelewa, wachapakazi, wanaojali, walio dedicated kwenye malezi ya watoto wao etc.) kama ambao wao wanataka wake zao wawe??
If not, basi waachkelutupigia kelele kila siku![emoji3061]