Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Naunga mkono 💯
Wanawake wengi waliosoma hasa degree ni takataka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono 💯
Wanawake wengi waliosoma hasa degree ni takataka
kwa kweli wabaki na msimamo huohuoMungu ajalie tu wasibadili mtazamo juu yetu ma jobless
Mkuu umewaza kikubwa zaidiNi kweli ke wasomi wengi ni changamoto.
Ila tunakoelekea ni kubaya sana ni ajabu watu wanapinga kuoa wasomi kwa sababu zilizoainishwa kwenye mada lakini wapo mstari wa mbele kuwasomesha watoto wao wa kike hadi elimu za juu na kucha kutwa wanawaombea wafanikiwe katika safari yao ya kielimu. Hiki ni kituko, kabla hatujaanza kuangalia tatizo kwa walio mbali tuanze na hawa wanaotuzunguka hata kama hatutakuwepo kwenye nafasi hiyo.
Swali la msingi ni je hampendi watoto wenu wakike waje kuolewa na kuziheshimu ndoa zao?
Kama elimu ni mbaya kiasi hicho kwanini bado mnawasomesha?
Nmejaribu kuwaza haya
Inashangaza tutashauriana hapa wake wasomi ni tatizo, tutawakosoa sana na inawezekana ni kweli kabisa ila tupo mstari wa mbele kuwasomesha watoto wetu wa kike(sipingi hili).Mkuu umewaza kikubwa zaidi
Kwa maana tunapanda mbegu ambayo ndo inaleta matunda haya.
Nadhani wasome ila mitaala iboreshwe kulingana na mahitaji ya jamii yetu.
Sasa kama yupo busy asikwambie?Sijaoa ila nlkuwa nadate na mwanamke mwenye kiajira aseeh ni mitihan jmn muda mwngne unapga cm anapokea anakwambia nko busy baadae hpo hpo anakata cm khaa! Mm siwez
acha niende extra mile nikukumbuke zaidi😬Bora hata majobless tumekumbukwa.
Na hapo lazima vijembe vya chini chini kua "wewe sio mwanaume kamili kama fulani" hawa viumbe ni konyoThat's the point!!!
Wapumbavu wanadanganyana eti mke atatafuta hela ya kodi ya nyumba wao watatafuta ada za watoto hawajui hela ya mwanamke huwa haidondoki,I swear mwanamke asivyokuwa na akili na degree yake kichwani atamtaka mume na take home yake 750K still ampe hela ya salon alipe kodi alipe ada na ajenge nyumba na kila siku asubuhi wanatoka wote kwenda kazini.
hauwajui wanawake, mwanamke akishakua na elimu na ajira AUTOMATICALLY jeuri na ujuaji vinakua SI unit ya hulka yakesio Wote niwabaya,wapo na wazuri pia.
Mwanamke hawezi kupenda, mwanaume ndio hupendaUkitaka kuishi kwa furaha kwenye ndoa? Oa,mwanamke anekupenda sio unempenda.. vinginevyo utapata tabu tu. Awe amesoma awe hajasoma kama hakupendi hesabu maumivu
Nimeipenda hiiUkifika nyumbani Let it be a small palace for a small king like Me.
Mitoto mingi haionagi upuuzi wa mama zao, hata ikiuona inapotezea. Lakini inaona mapungufu machache ya baba zao.Huo uzuri tutamuuliza Baba yako. We utatudanganya tu
Nilishawaambia sana watu humu hata nje ya jf.Mwanamke hawezi kupenda, mwanaume ndio hupenda
Inawezekana ni kweli.Naunga mkono 💯
Wanawake wengi waliosoma hasa degree ni takataka
Duh pole sana mkuu.Wako baadhi wachache wako vizuri sana. Wangu alikuwa mtiifu na nidhamu sana pamoja na kazi na elimu, bahati mbaya Mungu akamchukua. Nimekuwa na mahusiano ya urafiki au mapenzi na waliosoma, hakuna wake pale.
Hakika sitooa mwanamke mwenye digrii hata kama mtamu vipi, nitaishia kumla tu
Inashangaza sana ,bora mimi ambae sitaoa kabisa ni mwendo wa kimasihara tu [emoji56].Ni kweli ke wasomi wengi ni changamoto.
Ila tunakoelekea ni kubaya sana ni ajabu watu wanapinga kuoa wasomi kwa sababu zilizoainishwa kwenye mada lakini wapo mstari wa mbele kuwasomesha watoto wao wa kike hadi elimu za juu na kucha kutwa wanawaombea wafanikiwe katika safari yao ya kielimu. Hiki ni kituko, kabla hatujaanza kuangalia tatizo kwa walio mbali tuanze na hawa wanaotuzunguka hata kama hatutakuwepo kwenye nafasi hiyo.
Swali la msingi ni je hampendi watoto wenu wakike waje kuolewa na kuziheshimu ndoa zao?
Kama elimu ni mbaya kiasi hicho kwanini bado mnawasomesha?
Nmejaribu kuwaza haya
Tumeshabadili , kataa ndoa[emoji16]Mungu ajalie tu wasibadili mtazamo juu yetu ma jobless
Tusomeshe na kuwalea vyema wakawe kati ya hao wachache. Wasiposikia watapambana na hali zaoInawezekana ni kweli.
Tuache kusomesha watoto wetu wa kike?
Maisha yamebadilika. Watoto wa kike wa sasa hivi hawataweza kufanana na wale wa mwaka 47. Haitakuja kuwezekana hata siku moja. Wazazi wenyewe ndo sisi...hao hao tuliosoma.Tusomeshe na kuwalea vyema wakawe kati ya hao wachache. Wasiposikia watapambana na hali zao