Tafadhali nidanganye kwa jambo lingine sio hili

Tafadhali nidanganye kwa jambo lingine sio hili

Wengi wanajikaza...nikiwaza ninavyorudi kazini nimechoka then na Mke wangu arudi kazini kwake nayeye amechoka then ni matumizi Mabaya ya Muda na fursa...
Mkuu umemaliza niseme nini cha ziada. Hata uromantic wanawake walioajiriwa hawana sura zimewakauka hauwezi hata kumsisimua kaisha sisimuliwa na mpera mpera na mauchovu ya "kazini"
 
Nyie ndio mnaojua kututuliza wanaume na maisha yakaendelea, mnatujulia pale tunapokuwa na hasira, hofu, woga, mitanziko ya kila aina. Mnajua kutuliwaza, kutufariji na kutupa moyo pale mnapohisi tumepatwa na mitanziko...
Kuna kipindi nilidate na msomi mwenzangu, anaweza kunipigia simu akihisi siko poa anasema basi ukiwa sawa utanitafuta. Halafu jinga linaamini linatosha kuwa mke. Pumbaaavu
 
Ni kweli ke wasomi wengi ni changamoto.

Ila tunakoelekea ni kubaya sana ni ajabu watu wanapinga kuoa wasomi kwa sababu zilizoainishwa kwenye mada lakini wapo mstari wa mbele kuwasomesha watoto wao wa kike hadi elimu za juu na kucha kutwa wanawaombea wafanikiwe katika safari yao ya kielimu. Hiki ni kituko, kabla hatujaanza kuangalia tatizo kwa walio mbali tuanze na hawa wanaotuzunguka hata kama hatutakuwepo kwenye nafasi hiyo.

Swali la msingi ni je hampendi watoto wenu wakike waje kuolewa na kuziheshimu ndoa zao?
Kama elimu ni mbaya kiasi hicho kwanini bado mnawasomesha?

Nmejaribu kuwaza haya
 
Hujiona kama ni mtu anayeweza kuishi bila kumtegemea mwanaume, kwa hiyo hababaishwi wala hapangiwi. Ukishakosa utii kwa mwanaume basi mahusiano hayana maana tena.
"...ukishakosa utii kwa mume basi mahusiano hayana maana tena ..."

huu mstari tunaweza kuuchomeka kwenye maandiko aise
 
Wako baadhi wachache wako vizuri sana. Wangu alikuwa mtiifu na nidhamu sana pamoja na kazi na elimu, bahati mbaya Mungu akamchukua. Nimekuwa na mahusiano ya urafiki au mapenzi na waliosoma, hakuna wake pale.

Hakika sitooa mwanamke mwenye digrii hata kama mtamu vipi, nitaishia kumla tu
Watakwambia una inferiority
 
Wako baadhi wachache wako vizuri sana. Wangu alikuwa mtiifu na nidhamu sana pamoja na kazi na elimu, bahati mbaya Mungu akamchukua. Nimekuwa na mahusiano ya urafiki au mapenzi na waliosoma, hakuna wake pale.

Hakika sitooa mwanamke mwenye digrii hata kama mtamu vipi, nitaishia kumla tu
Mkuu pole kwa kuondokewa na shem Mungu ampumzishe salama.

"hautaoa mwanamke mwenye digrii hata awe mtamu" haa ha ha we jamaa umenichekesha sana
 
Back
Top Bottom