Tafadhali nidanganye kwa jambo lingine sio hili

Tafadhali nidanganye kwa jambo lingine sio hili

Bora hata majobless tumekumbukwa.
tunawapenda sana hamna mambo makubwa mnadumisha ndoa, ndoa inakuwa yenye furaha, hao wenzenu ni vimeo sana ndio maana wengi ni single mother, hawakai na wanaume wale, shida yao wapate watoto wawili imetoka hiyo
 
Kama unaoa mwanamke mwenye elimu basi hakikisha una elimu kubwa kushinda yeye na kipato kikubwa kushinda yeye. Hapo kama akili zake ni fupi basi ndio atakuheshimu. Ila mwanamke mwenye akili hata awe nani lazima atamuheshimu mwanaume.

Hivyo tatizo sio kuoa mwanamke msomi, bali tatizo ni kuoa mwanamke asiye na akili wala heshima. Na vilevile kama huna akili basi usioe mwanamke aliyesoma, kikawaida ili kuwe na heshima ni lazima mwanaume amzidi mwanamke akili.

Mimi hakuna mwanamke atakayenisumbua hata awe ni astronaut anafanya kazi nasa.
 
Hao dawa yao ni kuwapiga shoo tu, wakipata watoto hupenda kulea wenyewe na ndio shida yao ni kupata watoto wawili hata kwa baba tofauti, taaluma ya ndoa hawaitaki na hawaiwezi. Kama kuna mwanamke msomi na ana ajira yuko ndoa muda mrefu usipungua miaka kumi huku mume wake ni mtu wa kipato cha chini kazidiwa na mke wake na ndoa yao iko shwari huyo mwanamke apewe maua yake. Tena wachungaji wake wamtunuku tuzo na iwe rejea kwa mafunzo ya ndoa
 
Kweli kabisa.kwanza wamama wa nyumbani NI waoga kuachwa halafu Adabu lazima awe nayo.
Kwanini umekimbilia kwenye point ya kuachwa?na kwanini waachwe kama majukumu yao yote wanayatekeleza!!

Wewe mwenye kazi na mshahara ndiyo huachwi eti?kwa sababu huwa unaweka mshahara wako mezani unaingia kwenye budget ya familia au siyo!na huwezi kumuheshimu mumeo kwa sababu una kipato na kazi,hahah vijana watapata tabu sana.
 
💯
Vijana wamekuwa wavivu wakitarajia mteremko.

Suprisengly, they end up disappointed.
That's the point!!!

Wapumbavu wanadanganyana eti mke atatafuta hela ya kodi ya nyumba wao watatafuta ada za watoto hawajui hela ya mwanamke huwa haidondoki,I swear mwanamke asivyokuwa na akili na degree yake kichwani atamtaka mume na take home yake 750K still ampe hela ya salon alipe kodi alipe ada na ajenge nyumba na kila siku asubuhi wanatoka wote kwenda kazini.
 
Peace upon you all Kings and Queens,

Maisha yana mengi ya kujifunza ila kuna ukweli ulio wazi hauhitaji darasa. Maisha yana mengi tusiyojua ila kuna mambo yako wazi na watu wanafiki pekee ndio hujifanya wawaoni uhalisia, shame to them all, fake fellas.

Nevertheless, nitasema hivyo hivyo. Tafadhali na chonde nakusihi hebu nidanganye jambo lingine lolote sio eti "mwanamke mwenye kaelimu kama kadegree na ajira na kamshahara kake ati akaolewa na awe na heshina na adabu kwa mumewe".

Wanaume walioa wanawake wenye viajira (nawaonea huruma, nawashangaa na kuwadharau same time kwanini walijitwisha gunia la misumari wakati walikua na option ya kubeba gunia la tende) wananyooshwa ipasavyo na wanagugumia maumivu kimya kimya nyatu nyatu wasijue watajinasua vipi. Hapo ukute wanaishi kwenye kanyumba ambako wote "wamechangia vijimkopo" hawezi kufanya lolote.

Mwanamke anajiona yuko sawa na mume na infact anahisi yuko slightly one notch higher kwa kua sheria zinambeba, kuna ustawi ya jamii hapa na madawadi ya jinsia pale yote yako upande wake qmamae. Na tambua fika kua mwanamke mwenye ajira anaithamini ajira yake kuliko ndoa.

Ewe ijana mwenye maono ya maisha ya amani mbele yako, sikufahadu hunifahamu ila nikushauri dogo, acha ujinga wa ati "nioe mwanamke wa kusaidiana maisha" acha upumbavu dogo mwanamke hatakusaidia kwa lolote hawa viumbe ni wabinafsi pro max.

Na hiyo ajira yake hautaona hata shillingi mia yake in addition hata hudumia familia wala watoto kila kitu itakua dada wa kazi huku yeye akijawa kiburi, jeuri na ujuaji sasa mwanamke wa hivyo wa nini eti ndugu ?!

Tafuta mwanamke mwenye tabia njema, mcha mungu na mwenye adabu ASIYE NA AJIRA oa huyo utakuja kunishukuru.

Tafiti zinathibitisha ndoa za mwanaume mtafutaji na mama wa nyumbani kufurikwa na amani na furaha. (Jifanye simp utakuja kufa kwa mastroke na utuachie huyo feminist tukimtomber)

Ukishupaza shingo utakuja kujuta kama wanaume wajinga wengi wa kileo wanaoishi kama kunguni ndani ya nyumba zao wenyewe. Mafahari wawili hawakai zizi moja.

Hakuna narudia hakuna aise HAKUNA mwanamke mwenye kaelimu mbuzi na kaajira asie na chembe chembe za ufaminism HAKUNA. Watajishaua nye nye nye mimi sio feminist bla bla ila matendo yao ni full feminists.

Hata uromantic wanawake walioajiriwa hawana sura zimewakauka ni kama manaume tu au tuseme madumejike the work environment inawafanya kua mangangari ngangari tu jambo dogo ligi aise hauwezi hata kumsisimua kaisha sisimuliwa na mpera mpera na mauchovu ya "kazini"

simple chemical equation ni kwamba ukichukua elimu, ajira na kamshahara ukaviweka ndani ya specimen inaitwa mwanamke heshima na adabu huyeyuka toka kwa specimen hiyo.

View attachment 2873797

View: https://youtu.be/j934OgiMBNQ
 
Back
Top Bottom