Tafadhali nidanganye kwa jambo lingine sio hili

hauwajui wanawake, mwanamke akishakua na elimu na ajira AUTOMATICALLY jeuri na ujuaji vinakua SI unit ya hulka yake
Itakua umekumbana na msomi kakufanyia vibaya. Ila wapo wanawake wasomi na ndoa wanazitumikia vizuri tu ...Mke mwemav ni yule Mcha Mungu ata awe na PhD anajua mume ni nani kwake...Tatzo lenu mnaoa maslay queens mnaangalia Tako kubwa ndomana mnaangukia pabaya
 
kufanya kazi ni matokeo na adhabu kwa mwanaume kitabu cha Mwanzo 2 mwanamke alipewa jukumu la kuzaa kwa uchungu. Kungangania wanawake wafanye kazi ni uvivu wa enyi mamarioo mwiba michele
It is 2024 and numbers. Kila kitu kimebadilika lakini wewe unataka mwanamke awe yule yule wa kitabu cha mwanzo mlango wa ngapi mstari wa ngapi sijui. Kwamba akae bila kufanya kazi katika ulimwengu wa kibepari, aolewe apewe kila kitu na mume, unfortunately mume akawa disable gafla?
 
Hata Naomi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…