Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,415
- 29,584
Tafadhali sana Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), tunawaomba angalau mtupunguzie mojawapo ya kero nyingi sana katika nchi hii, kwamba unapopiga namba yeyote ya Customer Service, iwe ni kampuni za simu, mashirika ya umma, biashara, NGO nk, ili mradi iwe ni customer service, basi lazima kuwe na option ya kuongea na mtoa huduma ikiwa option unazopewa hazilingani na tatizo unalotaka kuripoti.
Ni kero sana pale unapokuwa na tatizo halafu kila option unayoambiwa hailingani na issue yako na mwisho wa siku unakatiwa simu bila kusaidiwa.
Hebu jaribuni kutupunguzia hii kero tafadhali.
Mara ya pili natoa ombi hili naona hado leo kimya.
Ona pia: https://www.jamiiforums.com/threads...ibu-ambayo-hayaendani-na-tatizo-lako.2429460/