Tafadhali Sana tunaomba mwacheni Polepole hii Nchi yetu sote

Tafadhali Sana tunaomba mwacheni Polepole hii Nchi yetu sote

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Tafadhali tena naomba wakuu mwacheni Polepole kama ana kosa tunaomba sheria ifuate mkondo wake.

Tunaomba Polepole achiwe bila masharti yoyote.

Tafadhali Sana tunakoenda siko mwacheni Polepole
 
Kuna siku hawa watu watasimama mahakamani kujibu mashitaka mbali mbali ya kijinai. Hakuna mtu atasahau vitendo vyao, uchunguzi utafanyika na wote watawajibishwa. Hawawezi kuwa juu ya Dunia milele. Siku zao zinahesabika.
 
Back
Top Bottom