baz kaiza JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 14,971 Reaction score 18,641 Oct 7, 2025 #1 Tafadhali tena naomba wakuu mwacheni Polepole kama ana kosa tunaomba sheria ifuate mkondo wake. Tunaomba Polepole achiwe bila masharti yoyote. Tafadhali Sana tunakoenda siko mwacheni Polepole
Tafadhali tena naomba wakuu mwacheni Polepole kama ana kosa tunaomba sheria ifuate mkondo wake. Tunaomba Polepole achiwe bila masharti yoyote. Tafadhali Sana tunakoenda siko mwacheni Polepole
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,867 Reaction score 23,482 Oct 7, 2025 #2 Kuna siku hawa watu watasimama mahakamani kujibu mashitaka mbali mbali ya kijinai. Hakuna mtu atasahau vitendo vyao, uchunguzi utafanyika na wote watawajibishwa. Hawawezi kuwa juu ya Dunia milele. Siku zao zinahesabika.
Kuna siku hawa watu watasimama mahakamani kujibu mashitaka mbali mbali ya kijinai. Hakuna mtu atasahau vitendo vyao, uchunguzi utafanyika na wote watawajibishwa. Hawawezi kuwa juu ya Dunia milele. Siku zao zinahesabika.