Tafadhali visingizio vifuatavyo hatuvihitaji Kesho tarehe 8 August, 2024 kuanzia Saa 3 Kamili za Usiku sawa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Tumewaonea tu Huruma nanyi mshinde ili mfurahi

2. Tumewaachia ili msije Kuuana bure

3. Tumeshachukua letu la Kwanza kwa Mandele hivyo tulitaka nanyi mchukue lenu kwa Nyerere

4. GENTAMYCINE alishasema kuwa Mwamuzi ni Shabiki mwenzenu hivyo tulijua tu tutakufa

5. Tumeshachoka kila mara Kuwafungeni kwani ingeonyesha kuwa Upinzani wetu Umeshakufa

6. Wachezaji wetu walikuwa bado hawajachanganya na kuelewana

7. Sisi tunajua ni Mechi ya Uwanjani tu kumbe Wenzetu hadi Wanakufuru kwa Mungu kwa Kuroga vibaya

Kudadadeki litakufa Jitu Kesho kwa Mkapa.
 
Hivi zile simu 14 ulizompa Mwenyekiti wako kipindi kile, bado tu hazijaisha mpa leo!! 🥵
 
8. Baadhi ya wachezaji wamehongwa ili wacheze chini ya kiwango
 
Kama mtani wako , leo hii mda huo usiukimbie huu uzi , mkitufunga nakuachia lidada la kinyarwanda hapa limeenda hewani ulituange kotekote kama tigo
 
Kiuhalisia anayehitaji ushindi kwa hali yoyote ni Simba. Maana akifungwa itawakwaza zaidi mashabiki wake kuliko atakapofungwa Yanga.
Watakaopambana Simba ishinde ni :
1. Mo
2. Karia
 
Mtani njoo huku , ukanipe lile lidada la kiyao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…