Tafadhali visingizio vifuatavyo hatuvihitaji Kesho tarehe 8 August, 2024 kuanzia Saa 3 Kamili za Usiku sawa?

1. Tumewaonea tu Huruma nanyi mshinde ili mfurahi

2. Tumewaachia ili msije Kuuana bure

3. Tumeshachukua letu la Kwanza kwa Mandele hivyo tulitaka nanyi mchukue lenu kwa Nyerere

4. GENTAMYCINE alishasema kuwa Mwamuzi ni Shabiki mwenzenu hivyo tulijua tu tutakufa

5. Tumeshachoka kila mara Kuwafungeni kwani ingeonyesha kuwa Upinzani wetu Umeshakufa

6. Wachezaji wetu walikuwa bado hawajachanganya na kuelewana

7. Sisi tunajua ni Mechi ya Uwanjani tu kumbe Wenzetu hadi Wanakufuru kwa Mungu kwa Kuroga vibaya

Kudadadeki litakufa Jitu Kesho kwa Mkapa.
Refa kazipunguza ila zilikuwa nne,pili namba kumi hamna kabisa na tatu yule Deborah akiendelea na tabia ya kupoteza mipira hovyo hovyo kwenye zone yenu msimu huu atawacost.
 
1. Tumewaonea tu Huruma nanyi mshinde ili mfurahi

2. Tumewaachia ili msije Kuuana bure

3. Tumeshachukua letu la Kwanza kwa Mandele hivyo tulitaka nanyi mchukue lenu kwa Nyerere

4. GENTAMYCINE alishasema kuwa Mwamuzi ni Shabiki mwenzenu hivyo tulijua tu tutakufa

5. Tumeshachoka kila mara Kuwafungeni kwani ingeonyesha kuwa Upinzani wetu Umeshakufa

6. Wachezaji wetu walikuwa bado hawajachanganya na kuelewana

7. Sisi tunajua ni Mechi ya Uwanjani tu kumbe Wenzetu hadi Wanakufuru kwa Mungu kwa Kuroga vibaya

Kudadadeki litakufa Jitu Kesho kwa Mkapa.
Uko wapi.....😹
 
Kiko wapi?
 
Back
Top Bottom