Tafadhali wakazi wa Maeneo haya hebu tupeane 'updates' za Maji kutoka ili angalau Leo tuoge tusinuke

Kwani walisema yatatoka lini? Sisi bado hayatoki
Kwa Tangazo lao la Jana ( Taarifa kwa Umma ) la Saa 1 asubuhi Dawasa walisema ( huku wakituomba Radhi ) kuwa walikuwa wakimalizia Ukarabati wa Bomba la ZEGE na kwamba kuanzia Jana Usiku maji yangetoka, ila mpaka asubuhi hii sijaona ( hatujaona ) hata tu hilo tone la Maji.
 
Maeneo ya Africana, Mbuyuni na Kunduchi matokeo bado ni bila bila. Waziri bado anatafakari nini cha kufanya (Drama)
 
1. Masaki
2. Kawe
3. Oysterbay
4. Mikocheni
5. Mbezi Beach
6. Mwenge
7. Kijitonyama

Nasubiri kwa hamu tu updates zenu.
Siku ukifika dar wewe ndugu zako huko kwenu Kyabakyari watakukoma..
 
Bado aisee ..Ile taarifa Yao ya mgao ni uongo mtupu..siku zote walizotaja maji yatatoka 24 hrs ni uongo mkubwa. Sijui wanatuona wajinga Sana . Mamlaka inaweka Tangazo halafu hakuna utekelezaji...wiki ya tatu sasa mabomba makavu hakuna hata dalili

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ilikua bora wakae kimya kuliko kuweka matangazo ya uongo. Wamewajaza watu imani maji yatarejea halafu mabomba makavu hadi sahivi. Wananchi wamekubali kuna mgao, haya wagawe sasa kwa ratiba waliyopanga wenyewe, hilo tena nalo linawashinda wanaleta siasa. Kweli sisi ni WADANGANYIKA.

Inasikitisha sana.
 
Kwa Tangazo lao la Jana ( Taarifa kwa Umma ) la Saa 1 asubuhi Dawasa walisema ( huku wakituomba Radhi ) kuwa walikuwa wakimalizia Ukarabati wa Bomba la ZEGE na kwamba kuanzia Jana Usiku maji yangetoka, ila mpaka asubuhi hii sijaona ( hatujaona ) hata tu hilo tone la Maji.
Sawa tuendelee kusubiri
 
Back
Top Bottom