GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Oga kwa kutumia Maji ya chumvi sio unalalamika kila siku1. Masaki
2. Kawe
3. Oysterbay
4. Mikocheni
5. Mbezi Beach
6. Mwenge
7. Kijitonyama
Nasubiri kwa hamu updates zenu.
Yakitoka ujaze mpaka kwenye vijiko,uwe na akiba ya kutosha,Hali Ni teteKwani walisema yatatoka lini? Sisi bado hayatoki
Kote huko hakuna maji, tunachota maji ya visima tu, maji ya chumvi tulikua tumeshasahau sasa tunarudi tulipotoka1. Masaki
2. Kawe
3. Oysterbay
4. Mikocheni
5. Mbezi Beach
6. Mwenge
7. Kijitonyama
Nasubiri kwa hamu updates zenu.
msijari wiki ijayo Mama anaenda ulaya kujadiriana kuhusu kuyachuja maji ya bahari1. Masaki
2. Kawe
3. Oysterbay
4. Mikocheni
5. Mbezi Beach
6. Mwenge
7. Kijitonyama
Nasubiri kwa hamu updates zenu.
Kwa Tangazo lao la Jana ( Taarifa kwa Umma ) la Saa 1 asubuhi Dawasa walisema ( huku wakituomba Radhi ) kuwa walikuwa wakimalizia Ukarabati wa Bomba la ZEGE na kwamba kuanzia Jana Usiku maji yangetoka, ila mpaka asubuhi hii sijaona ( hatujaona ) hata tu hilo tone la Maji.Kwani walisema yatatoka lini? Sisi bado hayatoki
Na Mkeo au?Hivi hamuwezi kwenda kuoga baharini?
We unamwambia aende kawe wakati mwenzako yupo zake Bunda vijijini huko anawachora. Mambo ya mjini daslamu anafanya kuyasikia ku facebookPopoma haujui kupiga mbizi, weka sabuni mfukoni sogea Kawe baharini apo
Siku ukifika dar wewe ndugu zako huko kwenu Kyabakyari watakukoma..1. Masaki
2. Kawe
3. Oysterbay
4. Mikocheni
5. Mbezi Beach
6. Mwenge
7. Kijitonyama
Nasubiri kwa hamu tu updates zenu.
Ilikua bora wakae kimya kuliko kuweka matangazo ya uongo. Wamewajaza watu imani maji yatarejea halafu mabomba makavu hadi sahivi. Wananchi wamekubali kuna mgao, haya wagawe sasa kwa ratiba waliyopanga wenyewe, hilo tena nalo linawashinda wanaleta siasa. Kweli sisi ni WADANGANYIKA.Bado aisee ..Ile taarifa Yao ya mgao ni uongo mtupu..siku zote walizotaja maji yatatoka 24 hrs ni uongo mkubwa. Sijui wanatuona wajinga Sana . Mamlaka inaweka Tangazo halafu hakuna utekelezaji...wiki ya tatu sasa mabomba makavu hakuna hata dalili
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tena Wako watatu utachagua mwenyewe hapana tabuNa Mkeo au?
Ntajaza hadi kwenye mifuniko ya sufuria [emoji23]Yakitoka ujaze mpaka kwenye vijiko,uwe na akiba ya kutosha,Hali Ni tete
Sawa tuendelee kusubiriKwa Tangazo lao la Jana ( Taarifa kwa Umma ) la Saa 1 asubuhi Dawasa walisema ( huku wakituomba Radhi ) kuwa walikuwa wakimalizia Ukarabati wa Bomba la ZEGE na kwamba kuanzia Jana Usiku maji yangetoka, ila mpaka asubuhi hii sijaona ( hatujaona ) hata tu hilo tone la Maji.