Chrysanthemum JF-Expert Member Joined Oct 28, 2016 Posts 1,531 Reaction score 5,787 Oct 30, 2022 #21 Kawe maji yanatoka kwa sasa , toka saa tisa ! Ila hayana pressure
Z zwenge ndaba JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 2,037 Reaction score 3,598 Oct 30, 2022 #22 Joline Kato said: Ntajaza hadi kwenye mifuniko ya sufuria [emoji23] Click to expand... Usisahau mpaka kwenye machujio na hotpot
Joline Kato said: Ntajaza hadi kwenye mifuniko ya sufuria [emoji23] Click to expand... Usisahau mpaka kwenye machujio na hotpot
Mbuguni TPC JF-Expert Member Joined Apr 9, 2015 Posts 535 Reaction score 405 Oct 30, 2022 #23 GENTAMYCINE said: 1. Masaki 2. Kawe 3. Oysterbay 4. Mikocheni 5. Mbezi Beach 6. Mwenge 7. Kijitonyama Nasubiri kwa hamu tu updates zenu. Click to expand... Mtafute mawardat akupe muelekeo wa maji yanavotoka katika sehemu hizo
GENTAMYCINE said: 1. Masaki 2. Kawe 3. Oysterbay 4. Mikocheni 5. Mbezi Beach 6. Mwenge 7. Kijitonyama Nasubiri kwa hamu tu updates zenu. Click to expand... Mtafute mawardat akupe muelekeo wa maji yanavotoka katika sehemu hizo
M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 7,731 Reaction score 13,611 Oct 30, 2022 #24 Huko napo yanakatika? Maana ndio wamejichimbia huko.
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Oct 30, 2022 Thread starter #25 Chrysanthemum said: Kawe maji yanatoka kwa sasa , toka saa tisa ! Ila hayana pressure Click to expand... Unakaa Kawe ipi Mkuu mbona Sisi wa Kawe mkabala na kwa Wajeda yalianza kutoka tokea Saa Saba ( 7 ) za Mchana?
Chrysanthemum said: Kawe maji yanatoka kwa sasa , toka saa tisa ! Ila hayana pressure Click to expand... Unakaa Kawe ipi Mkuu mbona Sisi wa Kawe mkabala na kwa Wajeda yalianza kutoka tokea Saa Saba ( 7 ) za Mchana?