Hao tushawazoea Tena wanapenda wakati Kenya iko kwenye janga haswa Alshababu wakifanya yao joto la jiwe ni wa Kwanza kupost, kuponda na kumalizia na matusi na kejeli 😁Salaam wakuu.
Binafsi sifurahishwi na nyuzi mpya mpya humu kutoka kwa ndugu zangu watanzania wakifanya mzaha hatua za serikali ya Kenya juu ya kuzuia kusambaa kwa Corona.
Hata kama Tanzania kuna unafuu hatupaswi kuwacheka na kuleta ligi za kukebehi juhudi zao. Muda huu ni wa kuwapa pole na kuwatia moyo pengine washauri.
Hao ni jirani zetu ugonjwa ukiwa mkali tutauonja tu.
Tafadhali ndugu Joto la Jiwe, Geza Ulole punguza kebehi.
Poleni wakenya na kesi kupaa.
Pambana ipasavyo ila sio kwa kupanic.
Proudly Tanzanian
Tumakusikia na kukuelewa, ila waambie hawa jamaa wajifunze kuwa "humble", hii tabia ya kujifanya wajuaji na kwamba kila jambo wanalolifanya ndio sahihi kuliko linalofanywa katika nchi jirani haipendezi na ndiyo inayosababisha "reactions".Salaam wakuu.
Binafsi sifurahishwi na nyuzi mpya mpya humu kutoka kwa ndugu zangu watanzania wakifanya mzaha hatua za serikali ya Kenya juu ya kuzuia kusambaa kwa Corona.
Hata kama Tanzania kuna unafuu hatupaswi kuwacheka na kuleta ligi za kukebehi juhudi zao. Muda huu ni wa kuwapa pole na kuwatia moyo pengine washauri.
Hao ni jirani zetu ugonjwa ukiwa mkali tutauonja tu.
Tafadhali ndugu Joto la Jiwe, Geza Ulole punguza kebehi.
Poleni wakenya na kesi kupaa.
Pambana ipasavyo ila sio kwa kupanic.
Proudly Tanzanian
wao ndo wameanza kutukebehi tangu JPM atoe speech kanisani!Salaam wakuu.
Binafsi sifurahishwi na nyuzi mpya mpya humu kutoka kwa ndugu zangu watanzania wakifanya mzaha hatua za serikali ya Kenya juu ya kuzuia kusambaa kwa Corona.
Hata kama Tanzania kuna unafuu hatupaswi kuwacheka na kuleta ligi za kukebehi juhudi zao. Muda huu ni wa kuwapa pole na kuwatia moyo pengine washauri.
Hao ni jirani zetu ugonjwa ukiwa mkali tutauonja tu.
Tafadhali ndugu Joto la Jiwe, Geza Ulole punguza kebehi.
Poleni wakenya na kesi kupaa.
Pambana ipasavyo ila sio kwa kupanic.
Proudly Tanzanian
Hao tushawazoea Tena wanapenda wakati Kenya iko kwenye janga haswa Alshababu wakifanya yao joto la jiwe ni wa Kwanza kupost, kuponda na kumalizia na matusi na kejeli [emoji16]
Salaam wakuu.
Binafsi sifurahishwi na nyuzi mpya mpya humu kutoka kwa ndugu zangu watanzania wakifanya mzaha hatua za serikali ya Kenya juu ya kuzuia kusambaa kwa Corona.
Hata kama Tanzania kuna unafuu hatupaswi kuwacheka na kuleta ligi za kukebehi juhudi zao. Muda huu ni wa kuwapa pole na kuwatia moyo pengine washauri.
Hao ni jirani zetu ugonjwa ukiwa mkali tutauonja tu.
Tafadhali ndugu Joto la Jiwe, Geza Ulole punguza kebehi.
Poleni wakenya na kesi kupaa.
Pambana ipasavyo ila sio kwa kupanic.
Proudly Tanzanian
Mtaipiku KenyaSuala la alshabaab ni Kiherehere chenu na njaa zenu na Kujikomba kwa US ndio kiliwaponza,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaipiku Kenya
Sasa kuwa humble inahusiana vipi na kutostaarabika kwako? Kuna sehemu naona umeandika eti 31-13=18 ukilinganisha wagonjwa wa Corona wa Kenya na Tz. Tilia maanani mawaidha ya mleta mada, mijadala kwenye jukwaa hili usiichukulie serious kiasi hicho. Usishangae hata hao wagonjwa wengine Tz ni wakenya na hivyo hivyo kwa watz ambao wapo Kenya. Tahadhari jombaa, usije ukapata kwamba ni watu ambao unawafahamu vyema. Nakupa advice ya bure ndugu yangu, ichukulie utakavyo ukitaka kusema ni povu sawa.Tumakusikia na kukuelewa, ila waambie hawa jamaa wajifunze kuwa "humble", hii tabia ya kujifanya wajuaji na kwamba kila jambo wanalolifanya ndio sahihi kuliko linalofanywa katika nchi jirani haipendezi na ndiyo inayosababisha "reactions".
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watanzania waache tu waendeleze tambo za kitoto. Wakianza kufa rais wao wanamjua huwa hana msaada sana sana atawaambia Mimi sikuleta CoronaSalaam wakuu.
Binafsi sifurahishwi na nyuzi mpya mpya humu kutoka kwa ndugu zangu watanzania wakifanya mzaha hatua za serikali ya Kenya juu ya kuzuia kusambaa kwa Corona.
Hata kama Tanzania kuna unafuu hatupaswi kuwacheka na kuleta ligi za kukebehi juhudi zao. Muda huu ni wa kuwapa pole na kuwatia moyo pengine washauri.
Hao ni jirani zetu ugonjwa ukiwa mkali tutauonja tu.
Tafadhali ndugu Joto la Jiwe, Geza Ulole punguza kebehi.
Poleni wakenya na kesi kupaa.
Pambana ipasavyo ila sio kwa kupanic.
Proudly Tanzanian
Ninyi lazima mjifunze kuwa wapole, kumbukeni msemo wa Bibilia kwamba " Heri wenye kujishusha maana Mungu atawainu". Mkiendelea na tabia yenu ya kupenda kujikweza na kudhani ninyi ni bora kuliko wengine, jiandaeni kwa lolote lile kwasababu katika vita huwezi kumchagulia adui yako silaha.Sasa kuwa humble inahusiana vipi na kutostaarabika kwako? Kuna sehemu naona umeandika eti 31-13=18 ukilinganisha wagonjwa wa Corona wa Kenya na Tz. Tilia maanani mawaidha ya mleta mada, mijadala kwenye jukwaa hili usiichukulie serious kiasi hicho. Usishangae hata hao wagonjwa wengine Tz ni wakenya na hivyo hivyo kwa watz ambao wapo Kenya. Tahadhari jombaa, usije ukapata kwamba ni watu ambao unawafahamu vyema. Nakupa advice ya bure ndugu yangu, ichukulie utakavyo ukitaka kusema ni povu sawa.
Sawa basi jombaa. Ila siku utakotembea na upate 'exposure' zaidi ndio utaielewa vizuri dunia hii na haya maisha tunayoyaishi chini ya jua.Ninyi lazima mjifunze kuwa wapole, kumbukeni msemo wa Bibilia kwamba " Heri wenye kujishusha maana Mungu atawainu". Mkiendelea na tabia yenu ya kupenda kujikweza na kudhani ninyi ni bora kuliko wengine, jiandaeni kwa lolote lile kwasababu katika vita huwezi kumchagulia adui yako silaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapole? Why should we? So that we don't hurt your fragile ego?! That sounds like your problemNinyi lazima mjifunze kuwa wapole, kumbukeni msemo wa Bibilia kwamba " Heri wenye kujishusha maana Mungu atawainu". Mkiendelea na tabia yenu ya kupenda kujikweza na kudhani ninyi ni bora kuliko wengine, jiandaeni kwa lolote lile kwasababu katika vita huwezi kumchagulia adui yako silaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehehee muanzisha nyuzi hawajui vzr hawa mbuzi, wanaweza wakamgeuka hata yy mwenyewe wakabadilisha idadi wakatupia humu kwmb Tz ndio yny idadi kubwa ya wagonjwa na co kunyaland
Hehehehee hapa naona kama unagusiagusia ishu ya hawa wajomba wazalendo wenye bendera ya nchi yao matakoni [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Ninyi lazima mjifunze kuwa wapole, kumbukeni msemo wa Bibilia kwamba " Heri wenye kujishusha maana Mungu atawainu". Mkiendelea na tabia yenu ya kupenda kujikweza na kudhani ninyi ni bora kuliko wengine, jiandaeni kwa lolote lile kwasababu katika vita huwezi kumchagulia adui yako silaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona mnalalamika tunapowakebehi mnapopatwa na matatizo?.Wapole? Why should we? So that we don't hurt your fragile ego?! That sounds like your problem
Then, get prepared for any eventuality.Wapole? Why should we? So that we don't hurt your fragile ego?! That sounds like your problem
Hawa watanzania waache tu waendeleze tambo za kitoto. Wakianza kufa rais wao wanamjua huwa hana msaada sana sana atawaambia Mimi sikuleta Corona