NImekwambia hamjashika soko lolote huko.... Sa we unanisifia vile mko na Trade surplus kwasababu hakuna kitu mna import kutoka huko....... kwahivyo hata nchi zengine za SADC haziwategemei.
Licha ya kuwa na hio trade surplus kubwa huko SADC, kuna nchi nyingi za SADC zina export zaidi ya Tanzania lakini tofauti na nyinyi, wao wana import bidhaa nyingi kutoka hizo nchi kwahivyo wako na balance of trade...
View attachment 1405761
Hizo nchi nilizo highlight ni nchi ambazo zina export bidhaa nyingi zaidi ya Tanzania hapo SADC, Tanzania mmeachwa nyuma na hizo nchi zote, Tena kwavile hamna lolote mnalo import kutoka kwa hizo nchi inamaanisha wanabiashara wa hizo nchi hawategemei soko la TZ kuuza bidhaa zozote, nchi ambazo mnaweza mkaringia huko SADC ni nchi ndogo ndogo kama kina comoros islands, Lesotho, madascar, mauritious... Lakini ikija kwa nchi kubwa kubwa za SADC, nyinyi ndo wa mwisho kwa exports[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Source