Tafadhali watanzania wenzangu acheni kuwasakama wakenya kipindi hiki wako kwenye Janga.

endelea kujidanganya, kawaulize kina Saudi, Jordan, Egypt walio na joto jingi kuwashinda kama corona inawapelekaje kwasasa
Wewe ni bogazi joto + black people korona inakuwa cha mtoto hata wazungu na wachina wanaangaika kuingia Africa wanajua joto lina punguza kuenea korona kwa kasi tofauti na baridi hata MTU mweupe akipata korona kwenye joto kabla ya kujijua kuwa ni mgongwa virusi vinakuwa aviweza kupata nguvu ya kumuu ndiyo maana wanapona sembuse black people ambao imeshaonekana wazi kuwa korona aina nguvu sana kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kama black person chini ya African sun si hushikwa na mafua? Yes or No?
 
Nchi hizo zote jirani ulizozitaja tunafanya biashara nazo kuliko vile TZ inafanya biashara nazo.... Hata nchi kama Rwanda ambayo hatupakani nayo inafanya biashara na sisi zaidi kulliko inavyofanya na TZ! Nyinyi sikuhizi ni majirani kwa jina tu kwahizo nchi mnazopakana nazo, manake hamuwafaidishi na lolote.
Sisi hatutegemei soko la EAC, sisi soko letu ni SADC ndio tunafanya biashara zaidi. Huku mikwaruzano haiishi, Burundi na Rwanda, Rwanda na Uganda, wanefungiana mipaka. Uganda na Kenya wanagombania kisiwa cha Migingo, mara Kenya inazuia Sukari ya Uganda, mara Kenya inazuia maziwa ya Uganda, Tanzania na Kenya ndio kila siku ni mikwaruzano. Sisi tumejikita zaidi katika soko la SADC, huko tunafanya biashara bila mikwaruzano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni bogazi joto + black people korona inakuwa cha mtoto hata wazungu na wachina wanaangaika kuingia Africa wanajua joto lina punguza kuenea korona kwa kasi tofauti na baridi hata MTU mweupe akipata korona kwenye joto kabla ya kujijua kuwa ni mgongwa virusi vinakuwa aviweza kupata nguvu ya kumuu ndiyo maana wanapona sembuse black people ambao imeshaonekana wazi kuwa korona aina nguvu sana kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka Samahani, haya maelezo yako sio sahihi hata kidogo, hakuna uhusiano huo hata kidogo, kumbuka huko uarabuni na sehemu za India kuna joto zaidi ya Dar au Mombasa. Kigali ni baridi, South Africa sasa hivi baridi inaanza, lakini hali ndio inapamba moto.

Ukisoma vizuri Kuhusu magonjwa ya kuambukiza, effect ya hali ya hewa ipo katika "vectors", sio katika "Pathogens". Tuchukulie mfano wa ugonjwa wa Malaria. Baridi inamdhuru "Mbu" Mwenye kubeba vimelea(Vector), sio pathogens (Plasmodium).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninacho kuambia ni ukweli mtupu hata nchi za arabuni kwenye joto haviwezi kusumbua sanaila tatizo siyo black people wewe kama uamini subiri siku wataharamu data sibitisha. Very soon
 
Ninacho kuambia ni kweli kabisa 100% wews subiri miezi michache WHO watasibitisha na dunia joto + black people is very hard for covid to spread and if it spread is very hard to kill
Ingilish ingilish

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je kuna utafiti wowote wa kisayansi au ni haya maneno ya mtaani?

Sent using Jamii Forums mobile app
100% wewe subiri kidogo tu utafiti unakuja kuproovu maneno yangu ayawezi kuwa ya kijiweni natumia akili ,sisi watz tuogope ebola siyo upuuzi wa korona japo utasumbua kwa sababu ya nchi zenye baridi na kuleta usumbufu wa Mara kwa Mara ni ugonjwa hatari kwa sababu unaua sana white people

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka Samahani, haya maelezo yako sio sahihi hata kidogo, hakuna uhusiano huo hata kidogo, kumbuka huko uarabuni na sehemu za India kuna joto zaidi ya Dar au Mombasa. Kigali ni baridi, South Africa sasa hivi baridi inaanza, lakini hali ndio inapamba moto.

Ukisoma vizuri Kuhusu magonjwa ya kuambukiza, effect ya hali ya hewa ipo katika "vectors", sio katika "Pathogens". Tuchukulie mfano wa ugonjwa wa Malaria. Baridi inamdhuru "Mbu" Mwenye kubeba vimelea(Vector), sio pathogens (Plasmodium).

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa c vzr ku conclude kwmb covid-19 haimdhuru sn mtu mweusi, lkn tusizikwepe statistics jamani, watu weusi wapo uko ulaya na Amerika kulipo maambukizi na vifo vingi vya ugonjwa huu lkn je ni waafrika wangapi waliokufa ukilinganisha na whites? Je ndo kusema watu weusi ni wachache kule au? Weusi waliokufa wapo ila wengi wao ni watu wenye umri mkubwa lkn pia wenye magonjwa yao hasa diabetes na mengine yanayohusiana na mfumo wa hewa, but haijatokea bado mtu mweusi aliye na afya yake tena kijana akafa km whites km yupo bac mm cjackia co apa Africa ata uko ulipotokea labda huenda wanaficha, je wanamficha nani? Huo pekee unatosha kuwa ushahidi kwamba mtu mweusi hadhuliki sn na covid-19 japo itamyumbisha kiafya cku mbili tatu anapona, but tahadhari muhimu.
 
Je kuna utafiti wowote wa kisayansi au ni haya maneno ya mtaani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninacho kuambia ni kweli kabisa 100% wews subiri miezi michache WHO watasibitisha na dunia joto + black people is very hard for covid to spread and if it spread is very hard to kill
Ingilish ingilish

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka Samahani, haya maelezo yako sio sahihi hata kidogo, hakuna uhusiano huo hata kidogo, kumbuka huko uarabuni na sehemu za India kuna joto zaidi ya Dar au Mombasa. Kigali ni baridi, South Africa sasa hivi baridi inaanza, lakini hali ndio inapamba moto.

Ukisoma vizuri Kuhusu magonjwa ya kuambukiza, effect ya hali ya hewa ipo katika "vectors", sio katika "Pathogens". Tuchukulie mfano wa ugonjwa wa Malaria. Baridi inamdhuru "Mbu" Mwenye kubeba vimelea(Vector), sio pathogens (Plasmodium).

Sent using Jamii Forums mobile app
Soma hii kwanza ila hata bila ya hii taharifa nilicho sema ni kweli nitatoa siri ya ugonjwa wa korona muda wowote ,
Maana unaweza MTU kuuliza kama joto linasahidia kwanini wagonjwa wakorona wasiwekwe kwenye joto au wanakufa baada ya kuwekwa kwenye joto ?
SIRI NI HII SIKU YA KWANZA UNAPO PATA HUU UGONJWA NA ZILE SIKU KABLA YA KUGUNDULIKA NDIYO MUHIMU SANA KWENYE HATIMA YAKO KUBAKI HAI AU KUFA
sasa kama utapata maambikizo siku ya kwanya ukiwa kwenye mazingira ya baridi huu UGONJWA unakuwa ndaniyako unanguvu sana maana unamea kwenye baridi vizuri hadi kufikia siku ya kugundulika kuwa unayo kovidi virus vinakuwa power full hapo hata kama utakimbia nchi yenye baridi na kukimbilia kwenye joto inakuaa ushachelewa utakuwa hatarini kwa asilimia80% kupoteza maisha,sasa ikiwa huu UGONJWA utaupata siku ya kwanza na siku zinazo fuatia kabla ya kugundulika ukiwa kwenye mazingira ya joto huu UGONJWA unakuwa dhaifu nikama mmea ulio kosa mbolea na maji hivyo baada ya kugundulika unakuwa kama vimafua vya kawaida tu unapona huku unakunywa gahawaaa, hapo sijazungumzia ugonjwa na ngozi nyeusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninacho kuambia ni ukweli mtupu hata nchi za arabuni kwenye joto haviwezi kusumbua sanaila tatizo siyo black people wewe kama uamini subiri siku wataharamu data sibitisha. Very soon
Soma hii kwanza ila hata bila ya hii taharifa nilicho sema ni kweli nitatoa siri ya ugonjwa wa korona muda wowote ,
Maana unaweza MTU kuuliza kama joto linasahidia kwanini wagonjwa wakorona wasiwekwe kwenye joto au wanakufa baada ya kuwekwa kwenye joto ?
SIRI NI HII SIKU YA KWANZA UNAPO PATA HUU UGONJWA NA ZILE SIKU KABLA YA KUGUNDULIKA NDIYO MUHIMU SANA KWENYE HATIMA YAKO KUBAKI HAI AU KUFA
sasa kama utapata maambikizo siku ya kwanya ukiwa kwenye mazingira ya baridi huu UGONJWA unakuwa ndaniyako unanguvu sana maana unamea kwenye baridi vizuri hadi kufikia siku ya kugundulika kuwa unayo kovidi virus vinakuwa power full hapo hata kama utakimbia nchi yenye baridi na kukimbilia kwenye joto inakuaa ushachelewa utakuwa hatarini kwa asilimia80% kupoteza maisha,sasa ikiwa huu UGONJWA utaupata siku ya kwanza na siku zinazo fuatia kabla ya kugundulika ukiwa kwenye mazingira ya joto huu UGONJWA unakuwa dhaifu nikama mmea ulio kosa mbolea na maji hivyo baada ya kugundulika unakuwa kama vimafua vya kawaida tu unapona huku unakunywa gahawaaa, hapo sijazungumzia ugonjwa na ngozi nyeusi

Sent using Jamii Forums mobile app
Will warmer weather slow the spread of coronavirus?

@ichoboy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka Samahani, haya maelezo yako sio sahihi hata kidogo, hakuna uhusiano huo hata kidogo, kumbuka huko uarabuni na sehemu za India kuna joto zaidi ya Dar au Mombasa. Kigali ni baridi, South Africa sasa hivi baridi inaanza, lakini hali ndio inapamba moto.

Ukisoma vizuri Kuhusu magonjwa ya kuambukiza, effect ya hali ya hewa ipo katika "vectors", sio katika "Pathogens". Tuchukulie mfano wa ugonjwa wa Malaria. Baridi inamdhuru "Mbu" Mwenye kubeba vimelea(Vector), sio pathogens (Plasmodium).

Sent using Jamii Forums mobile app
Will warmer weather slow the spread of coronavirus?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sawa c vzr ku conclude kwmb covid-19 haimdhuru sn mtu mweusi, lkn tusizikwepe statistics jamani, watu weusi wapo uko ulaya na Amerika kulipo maambukizi na vifo vingi vya ugonjwa huu lkn je ni waafrika wangapi waliokufa ukilinganisha na whites? Je ndo kusema watu weusi ni wachache kule au? Weusi waliokufa wapo ila wengi wao ni watu wenye umri mkubwa lkn pia wenye magonjwa yao hasa diabetes na mengine yanayohusiana na mfumo wa hewa, but haijatokea bado mtu mweusi aliye na afya yake tena kijana akafa km whites km yupo bac mm cjackia co apa Africa ata uko ulipotokea labda huenda wanaficha, je wanamficha nani? Huo pekee unatosha kuwa ushahidi kwamba mtu mweusi hadhuliki sn na covid-19 japo itamyumbisha kiafya cku mbili tatu anapona, but tahadhari muhimu.
Will warmer weather slow the spread of coronavirus?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inferiority complex kiaje wakati Wakenya ndio wamejaa humu Jf na kutwa kufungua nyuzi za kukebehi wengine na kujisifu? Kuna Watz wangapi kwenye forums zenu?
And I don't know unaposema Wivu, wivu wa nini labda, English Language?

Sent using Jamii Forums mobile app
LOL nusu ya trending videos YouTube upande wa Kenya ni videos za Tanzania

This means Kenyans are incredibly anxious and thirsty to follow each particle of what happens in Tanzania lakini sijawahi kuona video ya Kenya inayotend Tanzania.
 
Nchi hizo zote jirani ulizozitaja tunafanya biashara nazo kuliko vile TZ inafanya biashara nazo.... Hata nchi kama Rwanda ambayo hatupakani nayo inafanya biashara na sisi zaidi kulliko inavyofanya na TZ! Nyinyi sikuhizi ni majirani kwa jina tu kwahizo nchi mnazopakana nazo, manake hamuwafaidishi na lolote.
LOL zaidi ya 90% ya mzigo wa Rwanda unapita Tanzania
 
Back
Top Bottom