Tafadhali watanzania wenzangu acheni kuwasakama wakenya kipindi hiki wako kwenye Janga.

Tafadhali watanzania wenzangu acheni kuwasakama wakenya kipindi hiki wako kwenye Janga.

Suala la ugonjwa halina cha nchi..
Acheni kubishania ugonjwa,na hatua mbalmbali serikali baadh zinapochukua kujikinga..

Si Mda wakukebehiana bali ni mda mzur wakuombeana sote,
Tuwapuuze watu wachache walio kwenye mitandao kuazisha majivuno na maneno ya kujisifu utazan wao na nchi zao ni miungu watu..

We are the same,leo kwake kesho kwetu.
Hili janga halichagui kabisa.
 
Tunategemea mtu mwenye matatizo kuonyesha kwamba hilo tatizo ni kubwa kwake na linamsumbua, hivyo angependa kuungwa mkono katika kukabiliana nalo.

Kama wewe mwenye tatizo unajifanya kuwa na ufumbuzi wa matatizo yako yote, kwamba hatua unazozichukua katika kukabiliana na hilo tatizo ndio hatua bora kuliko wengine wote, umefikia hatua hata ya kumcheka na kumkebehi jirani yako kwa hatua anazochukua kupambana na tatizo hilo hilo, unategemea nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salaam wakuu.

Binafsi sifurahishwi na nyuzi mpya mpya humu kutoka kwa ndugu zangu watanzania wakifanya mzaha hatua za serikali ya Kenya juu ya kuzuia kusambaa kwa Corona.

Hata kama Tanzania kuna unafuu hatupaswi kuwacheka na kuleta ligi za kukebehi juhudi zao. Muda huu ni wa kuwapa pole na kuwatia moyo pengine washauri.

Hao ni jirani zetu ugonjwa ukiwa mkali tutauonja tu.

Tafadhali ndugu Joto la Jiwe, Geza Ulole punguza kebehi.

Poleni wakenya na kesi kupaa.

Pambana ipasavyo ila sio kwa kupanic.

Proudly Tanzanian

Kama huu uzi una ukweli wowote, ni uthibitisho mwingine wa ule utafiti wa wale jamaa wa TWAWEZA.

TWAWEZA angazieni hili, elimu yetu ilikwama wapi? This area is really wanting.
 
Kama huu uzi una ukweli wowote, ni uthibitisho mwingine wa ule utafiti wa wale jamaa wa TWAWEZA.

TWAWEZA angazieni hili, elimu yetu ilikwama wapi? This area is really wanting.

Utafiti ulikuwa unasemaje?
 
Kuna tofauti gani kati ya Kenya na Malawi?
Au Lugha ya Kingereza,?
Unadhani nchi yenye hizi sifa ni nchi ya Ulimwengu wa Kwanza?
Kenya Kuna Njaa Malawi hakuna njaa,
Kenya 45% wanaishi chini ya dola moja
Kenya Slums Kila Mji, kwa Nairobi 60% ya wakazi,
Shida ya Maji safi nairobi
Vifo vya Watoto chini ya miaka mitano
Kenya pre school Iron deficiency at 30%
Kenya Stunting at 35%
Kenya 3milion residents affected by jiggers
Hizo Nchi zote umetaja hapo ni LDC na Kenya haipo huo muungano wenu. [emoji6]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha!! Watanzania ukiwazoea hupati tabu, siku za mwanzo mwanzo nilikua napata hasira sana nikiona mnavyochekelea Kenya kila tukilipuliwa na magaidi, ila baadaye nikawa naingia kwenye majukwaa yenu ya kisiasa kule na kuona mnavyochekeleana kwenye majanga baina yenu, nikapata uelewa ndivyo mlivyo, ni asili yenu na ndio maana mnatajwa ndani ya mataifa ambayo watu wake hawana furaha kabisa, wewe jiulize kwa nchi kama yenu ambapo hamna vita aina yoyote iweje mtajwe kukosa furaha na kuwekwa miongoni mwa mataifa ambayo mabomu kwao ni chakula cha kila siku.

Nchi ambayo viongozi watawala wanawabeza upinzani na kuwafananisha na Corona, nchi ambayo kiongozi, mtawala na mkuu wa mkoa tena bila aibu anaashukuru Mungu kwa Corona kumtesa mtoto wa kiongozi wa upinzani, yaani watu mna roho za kiajabu kwa kweli.....

Kuna tofauti gani kati ya Kenya na Malawi?
Au Lugha ya Kingereza,?
Unadhani nchi yenye hizi sifa ni nchi ya Ulimwengu wa Kwanza?
Kenya Kuna Njaa Malawi hakuna njaa,
Kenya 45% wanaishi chini ya dola moja
Kenya Slums Kila Mji, kwa Nairobi 60% ya wakazi,
Shida ya Maji safi nairobi
Vifo vya Watoto chini ya miaka mitano
Kenya pre school Iron deficiency at 30%
Kenya Stunting at 35%
Kenya 3milion residents affected by jiggers

Sent using Jamii Forums mobile app
CC: veteran nomasana
 
Hahaha!! Watanzania ukiwazoea hupati tabu, siku za mwanzo mwanzo nilikua napata hasira sana nikiona mnavyochekelea Kenya kila tukilipuliwa na magaidi, ila baadaye nikawa naingia kwenye majukwaa yenu ya kisiasa kule na kuona mnavyochekeleana kwenye majanga baina yenu, nikapata uelewa ndivyo mlivyo, ni asili yenu na ndio maana mnatajwa ndani ya mataifa ambayo watu wake hawana furaha kabisa, wewe jiulize kwa nchi kama yenu ambapo hamna vita aina yoyote iweje mtajwe kukosa furaha na kuwekwa miongoni mwa mataifa ambayo mabomu kwao ni chakula cha kila siku.

Nchi ambayo viongozi watawala wanawabeza upinzani na kuwafananisha na Corona, nchi ambayo kiongozi, mtawala na mkuu wa mkoa tena bila aibu anaashukuru Mungu kwa Corona kumtesa mtoto wa kiongozi wa upinzani, yaani watu mna roho za kiajabu kwa kweli.....

Ni ajabu kusikia kwamba katika Afrika kuna nchi zinafuraha, Africa hatuwezi kuwa na furaha Wakati bado kuna raia wenzetu wengi ni masikini, jirani wetu anaendelea kufa njaa na kutegemea chakula cha msaada, bado jirani anauliwa na magaidi, bado jirani watu wake wengi wanaishi kwenye slums, japo yeye mwenye ameridhika anakenua meno.

Tanzania tulikua Tunaiamini kwamba, pamoja na kwamba tulipata Uhuru toka kwa mkoloni, lakini Uhuru wetu haukuwa na maana yoyote kama nchi zingine za Afrika bado hazijawa huru. Tanzania hatuwezi kuwa na furaha Kama mambo Kama haya yanatokea kwa jirani wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania got all sorts of minerals, arable land and all kinds of natural resources yet you are one of the poorest countries on God's green earth. Literacy rates are the same level as Uganda. All that leads to one very obvious point, Tanzania is mentally bankrupt.
 
Tanzania got all sorts of minerals, arable land and all kinds of natural resources yet you are a dirt poor and literacy rates are lower than Uganda. All that leads to one very obvious point, Tanzania is mentally bankrupt
R people in Dubai more literate than in Kunyaland?
 
Back
Top Bottom