Tafadhali watanzania wenzangu acheni kuwasakama wakenya kipindi hiki wako kwenye Janga.

Neither Kenya nor Dubai are known for failed ideologies such as ujamaa. As I said Tanzania is mentally bankrupt
1)Tribalism
2)Hunger
3)Unemployment
4)Slums
5)Crime
6)Terrorism
7)Political violence
8)Nepotism
9)Big gap between rich and poor
10)Land injustice
11)Extrajudicial killings
12)Police brutality

These are the left overs of capitalism

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamaanisha hii
Screenshot_2020-03-26-14-53-09-004_com.facebook.katana.jpg
 
Hao tushawazoea Tena wanapenda wakati Kenya iko kwenye janga haswa Alshababu wakifanya yao joto la jiwe ni wa Kwanza kupost, kuponda na kumalizia na matusi na kejeli [emoji16]
Ni Kati ya watanzania wapumbavu muwazoee tu. ila tulio wengi tunajivunia kuwa majirani zenu na hatuwezi kuwaacha kipindi Cha matatizo Kama haya.

Kwa niamba ya familia yangu na ukoo wangu kwa ujumla napenda kutoa salamu za pole kwenu ndugu zetu wakenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba Rais Uhuru awape mamlaka KDF waanze kuwachapa viboko wakenya maana wamezidi kuzurura na kutosikiliza viongozi wao .

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Unajua pia marekani ilikua inaicheka Europe alafu wakanunua vifaa zaidi vya kupima corona sahii wakashtuka kumbe kwao ndo imeenea zaidi... Usifikirie kwavile kesi zimeongezeka Kenya unaanza kucheka kwavile kwenu hazijaongezeka
 
Kenya kuna matatizo makubwa sana.
Kama si tuna matatizo basi si dunia nzima nchi zilizo na kesi nyingi kuliko Kenya zina matatizo chungu tele
 
Unajua pia marekani ilikua inaicheka Europe alafu wakanunua vifaa zaidi vya kupima corona sahii wakashtuka kumbe kwao ndo imeenea zaidi... Usifikirie kwavile kesi zimeongezeka Kenya unaanza kucheka kwavile kwenu hazijaongezeka
Tumeshawaambia sababu za kuwakebehi, wacha kupotosha umma, tunawakebehi kwasababu ya tabia yenu ya kujifanya ninyi ndio wajuaji wa kila jambo, kila linalofanywa Kenya hilo ndio sahihi Wakati nchi zingine zote zinakosea.

Jaribuni kuwa "humble" muone Kama tutawashambulia au kuwacheka, Rwanda wagonjwa wamefikia 50, kwanini tusiwakebehi Kama unadhani idadi ya wagonjwa ndio sababu ya kuwakebehi, tabia yenu ya kujifanya wajuaji, kugombana na majirani zenu wote ndio kunawafanya majirani wasisikitike mnapopatwa na matatizo, badilikeni.

Kama Kenya ina matatizo ingekua tunabishana na waganda, warwanda na wengineo, lakini hilo hauoni likifanyika, Watanzania kuwashambulia wakenya ni kwasababu moja tu, wivu wivu wivu... Unajua kama mtu ni mnafik na anakuonea wivu kila unalofanya au unasema anadhania umemlenga yeye, Yani mko na inferiority complex flani mkiwa karibu na mkenya. Mkenya akisema "eh, shati yangu ni safi", wewe unajijazia yako na kuona anajisifu kwamba shati yake ni safi kwahivyo yako wewe ni chafu.....
hebu angalia vile unatumia nguvu nyingi kuwachunguza tabia na miondoko ya wakenya, alafu kwavile tuna kesi nyingi za corona unasema eti ni kwasababu ya tabia,, blah blah blah upuzi mtupu
 
Mnagombania kisiwa cha Migingo na Uganda, juzi mumezuia maziwa ya Uganda kuingia Kenya, Uganda wamepeleka kesi katika mahakama ya EAC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnagombania kisiwa cha Migingo na Uganda, juzi mumezuia maziwa ya Uganda kuingia Kenya, Uganda wamepeleka kesi katika mahakama ya EAC

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania ndo mnaongoza kwa kuweka vikwazo kwa nchi nyengine za EAC kwahivyo hilo swala la maziwa si kitu. Tena isitoshe hadi sasa Uganda haijaban maziwa (Processed milk) kutoka Kenya, wameenda kotini kushtaki Kenya, Yani unaona vile hao si wanafik wenye miondoko ya kitoto, Najua ingekua ni Tz mngekua mlishaharibu biashara yote kwa kuban kila kitu kutoka Kenya.

Hilo swala la Migingo, Waganda na Wakenya wote wameishi pamoja kwenye hilo jiwe tangu tupate uhuru. Na sio Kenya ilioanzisha mgogoro ni Uganda, na hata licha ya kugombania hicho kisiwa hatujakoseana na Uganda, hakuna tit for tat yeyote tumefanyiana na Uganda kwasababu ya migingo, najua ingekua ni Tanzania na Kenya lazima mngekua mlifanya vituko vya ajabu hadi hoja isiwe kuhusu migingo tena, kwa mfano nashuku mgekimbilia kubania KQ na makampuni mengine hadi tuwaachie migingo...nk Yani sijui hua mnashikwa na nini mkiona mkenya
 
Back
Top Bottom