Naxvegas254
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 542
- 316
Sasa kujitamba kuwa mna wagonjwa kiasi kidogo kuliko Kenya ni kujishusha?Ninyi lazima mjifunze kuwa wapole, kumbukeni msemo wa Bibilia kwamba " Heri wenye kujishusha maana Mungu atawainu". Mkiendelea na tabia yenu ya kupenda kujikweza na kudhani ninyi ni bora kuliko wengine, jiandaeni kwa lolote lile kwasababu katika vita huwezi kumchagulia adui yako silaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka hapo utafiti utakapo toka na kuthibitisha maneno yako, kwasasa tuyachukulie kwamba sio kweli ili kuepusha kuwapitosha watu.100% wewe subiri kidogo tu utafiti unakuja kuproovu maneno yangu ayawezi kuwa ya kijiweni natumia akili ,sisi watz tuogope ebola siyo upuuzi wa korona japo utasumbua kwa sababu ya nchi zenye baridi na kuleta usumbufu wa Mara kwa Mara ni ugonjwa hatari kwa sababu unaua sana white people
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, kaka unachekesha sana. Jifunze kitu kinachoitwa " Cold blooded animal & Hot blooded animals" jinsi miili yao inavyofanya Kazi. Hivi wewe unadhani ukiwa katika baridi joto la damu yako au ndani ya mwili wako pia kunakuwa baridi, au ukiwa kwenye joto basi damu yako na mwili pia vinakua hivyo hivyo?. Joto la mwili wa binadamu linabakj pale pale 36 -37 degrees bila kujali joto la nje.Soma hii kwanza ila hata bila ya hii taharifa nilicho sema ni kweli nitatoa siri ya ugonjwa wa korona muda wowote ,
Maana unaweza MTU kuuliza kama joto linasahidia kwanini wagonjwa wakorona wasiwekwe kwenye joto au wanakufa baada ya kuwekwa kwenye joto ?
SIRI NI HII SIKU YA KWANZA UNAPO PATA HUU UGONJWA NA ZILE SIKU KABLA YA KUGUNDULIKA NDIYO MUHIMU SANA KWENYE HATIMA YAKO KUBAKI HAI AU KUFA
sasa kama utapata maambikizo siku ya kwanya ukiwa kwenye mazingira ya baridi huu UGONJWA unakuwa ndaniyako unanguvu sana maana unamea kwenye baridi vizuri hadi kufikia siku ya kugundulika kuwa unayo kovidi virus vinakuwa power full hapo hata kama utakimbia nchi yenye baridi na kukimbilia kwenye joto inakuaa ushachelewa utakuwa hatarini kwa asilimia80% kupoteza maisha,sasa ikiwa huu UGONJWA utaupata siku ya kwanza na siku zinazo fuatia kabla ya kugundulika ukiwa kwenye mazingira ya joto huu UGONJWA unakuwa dhaifu nikama mmea ulio kosa mbolea na maji hivyo baada ya kugundulika unakuwa kama vimafua vya kawaida tu unapona huku unakunywa gahawaaa, hapo sijazungumzia ugonjwa na ngozi nyeusi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesema biashara, wewe inaongelea imports kutoka nje ya EAC.LOL zaidi ya 90% ya mzigo wa Rwanda unapita Tanzania
Slow the spread, sio sawa na stop the spread.... As you can see Egypt warmer that any place in east Africa na bado corona imewalemea
Hata huko SADC, nishawahi kuleta ushahidi kuonyesha hamjashikilia soko lolote huko... mako kati ya nchi zinazoongoza kwa biashara ndani ya SADCSisi hatutegemei soko la EAC, sisi soko letu ni SADC ndio tunafanya biashara zaidi. Huku mikwaruzano haiishi, Burundi na Rwanda, Rwanda na Uganda, wanefungiana mipaka. Uganda na Kenya wanagombania kisiwa cha Migingo, mara Kenya inazuia Sukari ya Uganda, mara Kenya inazuia maziwa ya Uganda, Tanzania na Kenya ndio kila siku ni mikwaruzano. Sisi tumejikita zaidi katika soko la SADC, huko tunafanya biashara bila mikwaruzano.
Sent using Jamii Forums mobile app
LOL almost 70% ya vyakula vinavyoliwa Rwanda vinatoka TanzaniaNimesema biashara, wewe inaongelea imports kutoka nje ya EAC.
Yanii Rwanda wananunua na kuuza bidhaa nyingi na Kenya kuliko vile wanavyo nunua na kuuza na Tanzania, comprende?
LOL almost 70% ya vyakula vinavyoliwa Rwanda vinatoka TanzaniaNimesema biashara, wewe inaongelea imports kutoka nje ya EAC.
Yanii Rwanda wananunua na kuuza bidhaa nyingi na Kenya kuliko vile wanavyo nunua na kuuza na Tanzania, comprende?
Usianze kuongelea vitu ambavyo hauna ushahidi navyo. Hio 70% umeiokota wapi?LOL almost 70% ya vyakula vinavyoliwa Rwanda vinatoka Tanzania
This is the multi billion business out of the formal management.
Tanzania ni nchi ya pili baada ya South Africa katika kunufaika na soko la SADC, tunauza zaidi kuliko tunachonunua toka SADC, huko tuko vizuri sana, ndio sababu tumeegemea sana huko, huku EAC ni migogoro isiyokwisha, tumewaachia ninyi wakenya huko.Hata huko SADC, nishawahi kuleta ushahidi kuonyesha hamjashikilia soko lolote huko... mako kati ya nchi zinazoongoza kwa biashara ndani ya SADC
NImekwambia hamjashika soko lolote huko.... Sa we unanisifia vile mko na Trade surplus kwasababu hakuna kitu mna import kutoka huko....... kwahivyo hata nchi zengine za SADC haziwategemei.Tanzania ni nchi ya pili baada ya South Africa katika kunufaika na soko la SADC, tunauza zaidi kuliko tunachonunua toka SADC, huko tuko vizuri sana, ndio sababu tumeegemea sana huko, huku EAC ni migogoro isiyokwisha, tumewaachia ninyi wakenya huko.
Tanzania can do more to boost SADC trade opportunities
Sent using Jamii Forums mobile app
Una matatizo wewe, katika biashara kitu muhimu ni wewe kuuza badala ya kununua zaidiNImekwambia hamjashika soko lolote huko.... Sa we unanisifia vile mko na Trade surplus kwasababu hakuna kitu mna import kutoka huko....... kwahivyo hata nchi zengine za SADC haziwategemei.
Licha ya kuwa na hio trade surplus kubwa huko SADC, kuna nchi nyingi za SADC zina export zaidi ya Tanzania lakini tofauti na nyinyi, wao wana import bidhaa nyingi kutoka hizo nchi kwahivyo wako na balance of trade...
View attachment 1405761
Hizo nchi nilizo highlight ni nchi ambazo zina export bidhaa nyingi zaidi ya Tanzania hapo SADC, Tanzania mmeachwa nyuma na hizo nchi zote, Tena kwavile hamna lolote mnalo import kutoka kwa hizo nchi inamaanisha wanabiashara wa hizo nchi hawategemei soko la TZ kuuza bidhaa zozote, nchi ambazo mnaweza mkaringia huko SADC ni nchi ndogo ndogo kama kina comoros islands, Lesotho, madascar, mauritious... Lakini ikija kwa nchi kubwa kubwa za SADC, nyinyi ndo wa mwisho kwa exports[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Source