kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,393
- 10,153
Hata Kama ni Mdau Wa Soka nguli , Kwa Muda huu Msiwafanyie interview.
Itakushangaza Majibu yake...!
Nilimsikia Angetile Osea akitumia neno 'wajinga' TFF na Bodi na akaongeza Kwa Sasa Wasiseme Lolote kama Wanaitaka amani,hapo alikuwa anatoa maoni yake Kipindi Cha michezo Cha Usiku clouds. Ilinishangaza kwa Nguli kama Yeye.
Moja Kwa Moja nikajua huyu ni Yanga na Amejaa Hasira.
Chonde chonde waepukeni Wana Yanga mnapofanya interview ama sivyo mtapata mshangao Hata Kwa Wale mliokuwa mnatarajia majibu ya Busara...!