Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Hoja hafifuWabunge wa Chadema wakistaafu wanakuwa maskini kwa sababu mishahara na posho zao zinaishia kwenye kuchangia chama.
Ndio maana Halima Mdee na wenzake wakachukua maamuzi magumu.
Kuchangia 10-15% ya mshahara hakumfanyi mtu kuwa masikini
Hoja hapa ni kwanini mtu aliyekuwa anavuta atleast TZS. 11,000,000/- tax free kila mwezi kwa miaka mitano mfululizo plus gratuity ya TZS. 250,000,000/- leo anageuka kuwa Matonya
Vijana mna la kujifunza hapa. Bata liende na investments