Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Hoja hafifuWabunge wa Chadema wakistaafu wanakuwa maskini kwa sababu mishahara na posho zao zinaishia kwenye kuchangia chama.
Ndio maana Halima Mdee na wenzake wakachukua maamuzi magumu.
Umewaza vyema ila Mimi kitu sijapenda ni Ile familia kwenda redion kuomba msaada wa kuchangiwa mtu Kama Prof aisee ni aibu Sana kwa familia ni Bora wasingetangaza kuomba mchango sababu naamini Prof ana marafiki wengi Sana wenye uwezo ni legend kwenye gem amewahi kua mbunge ana marafiki wengi Sana wenye nyazifa serikalini mi naamini hawa wote wangetosha kabisa kusolve hii kesi bila kwenda kuomba msaada redionunapozungumzia hili swala limebebwa kisiasa mkuu utakuwa unakosea sababu wanaomchangia jay si wana siasa pekee kabla hata serikali haijabeba hilo jukum watu wenye mapenzi mema na jay walishaanza kumchangia ambao si wana siasa, pia serikali katika kusaidia matibabu kwa raia wake hata wewe inaweza ikakutibia tu kwa zile case kubwa kama ya jay kinachotakiwa ufuate tu zile taratibu za wizara ya afya kwani serikali kupitia wizara ya afya ndio yenye mamlaka ya kukusaidia wewe na ndio maana wapo baadhi ya wananchi husafirishwa na kwenda kutibiwa nje ya nchi kipitia wizara hii....!! kitu kingine unachopaswa kufaham kuwa Jay ni maarufu hivyo umaarufu wake ameweza kupanua wigo wa marafiki tofauti ilivyo kwa mimi na wewe, Jay anafahamika karibu na kila mtanzania kwaiyo ana nafas kubwa ya kusaidiwa tofauti na ilivyo kwangu na kwako , ameweza kuonekana hao wengine unaosema wapo wengi mpaka mtu aende akahakiki uko ma hospital lakin yeye kutokana na umaarufu wake ameweza kuonekana kwaiyo kilichofanyika kwa Jay sio kibaya sana kila mtu ana nafas yake katika jamii!
Hivi ruge na hela zote zile plus familia anayotoka ilikuwa vzr na marafiki wenye hela bado waliomba michango,na serikali ikaingilia kati, imekaaje hii?ukweli mchungu, ila watasema unachuki na Prof Jay
ni upumbavu kumchangia aliye nacho,Hivi ruge na hela zote zile plus familia anayotoka ilikuwa vzr na marafiki wenye hela bado waliomba michango,na serikali ikaingilia kati, imekaaje hii?
Serikali kuingilia sio ishu sababu Ali play part kwa kuisaidia serikali kumotivate ajira kwa vijana hivyo ana icon ya kukumbukwa kiserikali ishu ni Ile kutangaza kuomba mchango kwa watu wa kawaida ni kujidhalilishaHivi ruge na hela zote zile plus familia anayotoka ilikuwa vzr na marafiki wenye hela bado waliomba michango,na serikali ikaingilia kati, imekaaje hii?
Umeandika point watanzania wengi sijui ni ujinga jay amejitengenezea brand jina lake linamuuza.unapozungumzia hili swala limebebwa kisiasa mkuu utakuwa unakosea sababu wanaomchangia jay si wana siasa pekee kabla hata serikali haijabeba hilo jukum watu wenye mapenzi mema na jay walishaanza kumchangia ambao si wana siasa, pia serikali katika kusaidia matibabu kwa raia wake hata wewe inaweza ikakutibia tu kwa zile case kubwa kama ya jay kinachotakiwa ufuate tu zile taratibu za wizara ya afya kwani serikali kupitia wizara ya afya ndio yenye mamlaka ya kukusaidia wewe na ndio maana wapo baadhi ya wananchi husafirishwa na kwenda kutibiwa nje ya nchi kipitia wizara hii....!! kitu kingine unachopaswa kufaham kuwa Jay ni maarufu hivyo umaarufu wake ameweza kupanua wigo wa marafiki tofauti ilivyo kwa mimi na wewe, Jay anafahamika karibu na kila mtanzania kwaiyo ana nafas kubwa ya kusaidiwa tofauti na ilivyo kwangu na kwako , ameweza kuonekana hao wengine unaosema wapo wengi mpaka mtu aende akahakiki uko ma hospital lakin yeye kutokana na umaarufu wake ameweza kuonekana kwaiyo kilichofanyika kwa Jay sio kibaya sana kila mtu ana nafas yake katika jamii!
Njoo huku nikuonyeshe mbunge wa ccm amefulia balaa.Wabunge wa Chadema wakistaafu wanakuwa maskini kwa sababu mishahara na posho zao zinaishia kwenye kuchangia chama.
Ndio maana Halima Mdee na wenzake wakachukua maamuzi magumu.
Povu, wivu na roho mbaya sasa zinatoka wapi, wewe kwa akili yako ulivyosikia Jay na habari zakuchangiwaHuo ni wivu na ni mawazo ya kimasikini sana.
Eti kwavile mtu anacheo flani ndio akipata matatizo asisaidiwe?
Watu waache wivu na roho mbaya, mtu yupo ICU anapigania maisha yake na familia yake ipo kwenye majonzi then wajinga wanahoji kuhusu hela? Pesa ni nini juu ya maisha ya mtu!
Mbona Ndugai tena akiwa Spika alishindwa kujilipia mabilioni huko India?Hoja hafifu
Kuchangia 10-15% ya mshahara hakumfanyi mtu kuwa masikini
Hoja hapa ni kwanini mtu aliyekuwa anavuta atleast TZS. 11,000,000/- tax free kila mwezi kwa miaka mitano mfululizo plus gratuity ya TZS. 250,000,000/- leo anageuka kuwa Matonya
Vijana mna la kujifunza hapa. Bata liende na investments
Bavicha wajinga sana bwashee!Mchonga alikuwa Rais kwa miaka 20+ lakini alipoumwa ilibidi aombe msaada wa Serikali na inasemwa walimsubirisha muda mrefu sana
sasa prof kuwa mbunge miaka 5 ndio iwe ajabu kusaidiwa
Mtu anaumwa mnahoji kuhusu hela?Povu, wivu na roho mbaya sasa zinatoka wapi, wewe kwa akili yako ulivyosikia Jay na habari zakuchangiwa
Moyoni tu lazima kichwa chako kijiulize how kwanini anachangiwa,
Nani kahoji kuhusu hela tumia akili usitumie makalio kufikiriMtu anaumwa mnahoji kuhusu hela?
Shame on you!
Hapa unahitaji kuthibitisha!Mchonga alikuwa Rais kwa miaka 20+ lakini alipoumwa ilibidi aombe msaada wa Serikali na inasemwa walimsubirisha muda mrefu sana
sasa prof kuwa mbunge miaka 5 ndio iwe ajabu kusaidiwa