Tafakari juu ya maisha ya watu mashuhuri kama Prof. Jay na uhalali wa kuomba michango ya matibabu

Asee nimeshangazwa sana asee watu wanahoji hela kwenye uhai wa mtu?
1. Anatumia bima gani ya afya?
2. Serikali imebeba jukumu hilo kwa lengo gani? Ni mtumishi wa serikali? Ni mbunge? Au kuwa raia ni sababu tosha?

Hayo maswali kwanza, majibu yake yatatuongoza kujua kama kweli BINADAMU WOTE NI SAWA kwa mujibu wa KATIBA!
 
sawa mkuu, nitaleta links kutoka google,ila tu ni kwamba aliomba serikalini akasubiri mno mpaka kina gachuma wakamuomba watumie pesa zao kumpeleka Nairobi alikataa
nitakuletea badae links usome itapendeza sana,hadi doctor wake alihojiwa
 
Tajir haachi kuomba mkuu..wee huon matangazo kila siku mara tatu mzuka..mara clouds mchongo..ila unaambiwa kwanza weka buku halaf ndo ushinde....hahhahaha...toa hela kwanza...hahah..other ontarios in town
 
Binadamu wote ni sawa ila watu wote sio sawa.

Walioanzisha kumchangia ni washabiki wake
 
Nadhani hoja ya mtoa mada ni kwamba kuna maelfu ya watu maskini zaidi ya Prof mwenye nafuu lakini serikali haifanyi kitu bali inafanya kwa watu mashuhuri na wenye nafuu ya maisha kama yeye.
 
Ndugai kwa hadhi yake sheria inampa haki ,na Jay inampa haki wapi? Matumizi mabaya ya Kodi za Wananchi.

Kuna watu mitaani badala ya serikali kuwatibu inawapa barua waombe mtaani,sio sawa na wengine huwa tunawaona kwenye tv wanasimulia maswahibu ya ugonjwa .
 
wanasema utakula kulingana na urefu wa kamba yako, ushasema kawahi kiwa mbunge sasa si ndo siasa zinamchangia, we utachangiwa na balozi wako kina mito mingi.
 
Maamuzi yalikuwa magumu kukwepa, chukulia mfano we unanafasi ya umma, umeenda kumuona mgonjwa,na ukaambiwa changamoto zilizopo, alafu uko kwenye vyombo vya habari, ungefanyaje?Jibu lingekuwa ni moja tu la namna ya kutatua hiyo changamoto
 
Mleta maada kahoji exactly the same na nilichokua nakifikiria mimi..
 
Serikali siyo wajinga kukubali kumlipia Prof Jay.
Sio kwa muktadha huo. Serikali imelipia watu wangapi wanaogua ugonjwa sawa na anaogua Prof. J na watu ambao hawajawahi hata kukamata milioni 10 kwa mwaka?

Do you really believe hii strategy ya kupick ā€œcelebritiesā€ na kuahidi kuwalipia ni njia sahihi? Punguza kubwia ugoro na Wanzuki

Hii issue ni ya kisiasa zaidi. CCM inataka kujifanya inajari zaidi ya CCM
 
Huyo jamaa kama kesi yake ni figo aisee isikie kwa watu wengine sio nyumban kwako. Ilimkuta mdogo wangu kila wiki ilikuwa inanitoka milion kwenye kuosha damu. Na mbaya zaid unakaa kwenye mashine masaa 4. Nimefanya hiyo kitu mwaka. Ndio akapatikana mtu wa kumpa figo. Imetoka ml 100 chief India cna hamu. Dogo kapona lakin ukweli watu wasio na uwezo unakufa tu. Nimeshuhudia vijana wadogo wa chuo wanakufa kwa kukosa hela. Ila ndugu zangu kama unaweza tubadili tu namna ya kuishi. Likikukuta ndio utajua.
 
Hiyo hospitali hamna wagonjwa wengine tena masikini wasio na uwezo ila msaada ni mtu mmoja tu
 
Nani kahoji kuhusu hela tumia akili usitumie makalio kufikiri

Sio tunahoji ni vile mtu unawaza kwa hali yake ya uchumi na jinsi hali ya uchumi ya watz ambao unaweza kuta ugonjwa wao ni zaidi ya proff jay na uchumi wao ni mdogo
Sasa uchumi si ndio hela zenyewe. Kumbe hata huelewi unachoongeašŸ˜‚

Nae si ni mtanzania so ana haki zote kusaidiwa, acha wivu mkuu huyo ni mtu wa watu so relax wacha wanaompenda na kumsapoti wamchangie na wewe wachangie hao wenye uchumi wa chini.
Hamna aliyelazimishwa kumchangia
 
 
Asee nimeshangazwa sana asee watu wanahoji hela kwenye uhai wa mtu?
Just imagine!
Watu wanaumia mgonjwa kusaidiwa kisa ana jina as if yeye sio binadamu kama wao. Inashangaza na kusikitisha at the same time
 
UNA TAKWIMU ZOZOTE ZA WAGONJWA WANAOTIBIWA NA WIZARA NDANI NA NJE YA NCHI?nimeandika kwa herufi kubwa ujue nakufokea
sometimes inabid tuache kutumia common sense kwa vitu vinavyohitaji fact Nigga J kua mbunge na Heavy weight MC hakumuondolei haki yake ya kupata government na public support kama watanzania wngine .
Ni watanzania wangapi wamesaidiwa na raia wenzao kupitia fundraisings zakina Malisa na Msando kupitia sosho media Laiti unglijua magonjwa yanaweza kukufanya ukafilisika beyond imagination usingaliumia ukiona watu wenye nafas nao wakisaidiwa
 
Hapo Chadema ni nani mmewahi kumchangia tsh 22 milioni kwa ajili ya matibabu?!!

Ndio ujue kuna watu wana umuhimu wa kipekee katika jamii.
 
Just imagine!
Watu wanaumia mgonjwa kusaidiwa kisa ana jina as if yeye sio binadamu kama wao. Inashangaza na kusikitisha at the same time
Halafu hela yenyewe inayowauma ni ya umma ambayo chenge muda wowote aiiba
 
Lipi kati ya hayo uliyoyaandika ni jibu la hayo maswali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…