Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,040
- 33,028
Wakuu, maafande wi
Baada ya kushiba kipolo cha wali na chai ya maziwa hapa nimewaza mambo mengi sana ...
Hebu fikiria kama watanzania wote million 70s tungekuwa na ideology au tungesuport falsafa za chama tawala .....bila upinzani nafikiri Tanzania tungekuwa mbali zaidi kiuchumi hapa Africa Kwa sababu zifuatazo
1) Tanzania tungeizidi hata china Kwa uchumi Kwa sababu tungekuwa na spirit kubwa ya upambanaji+ uzalendo
2 Nchi ingekua na Amani kiasi Kwamba tusingekuwa na gharama kubwa kwenye mambo ya kiulinzi
3 Spirit kubwa ya uzalendo: Kama watanzania wote wangekuwa na ideology ya CCM basi kiwango kikubwa Cha uzalendo kingekuwepo kwa wananchi .hivyo kuondoa foreign interference/ unnecessary division
4. Nchi ingekua na misingi mikali ya Utu, undugu na kujaliana (ujamaa na kujitegemea
Je nawewe umewaza kama Mimi......je nini kimekushangaza
Nb: Mawazo mengi mazuri yanakuja baada ya kushiba.....so zingatia msosi bora