Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viongozi nao wanavamiwa Hadi wanavunjwa mguu walinzi wako wapi?? Ofisi zinachomwa walinzi wako wapi?? Chadema Ni taasisi kubwa Sana ni kweli hawana walinzi hata wa upinde?? Naomba kujuzwa tafadhaliKuna maswali mengi mno ya kijiuliza mkuu
Watakuja wakupopomee tu hapa chifuViongozi nao wanavamiwa Hadi wanavunjwa mguu walinzi wako wapi?? Ofisi zinachomwa walinzi wako wapi?? Chadema Ni taasisi kubwa Sana ni kweli hawana walinzi hata wa upinde?? Naomba kujuzwa tafadhali
Ni unafiki tu. Ulimsikia Msigwa alivyosema kuwa alimsingia kinana?Ila chadema jamani mungu anawaona Mara mbowe kavamiwa katibu mkuu mbele ya luninga akatutangazia muda si mrefu chama kitaanika kilichotokea Sasa kimya bado tunasubilia ,n.k n.k
Maybe Sanane type?Wakuu Dereva wa lissu alisharudi??
Wapinzani coco mnahangaika sana, ccm itawanyoosha kama haiwajuiCCM wacheni utoto wenu, mnachoma moto ofisi za Chadema maeneo ambayo mnajua wazi hamkubaliki ili muwatishe wapiga kura wa maeneo hayo wasijitokeze siku ya kwenda kupiga kura, mnajidanganya, mjue fika KURA ZITAPIGWA NA MSHINDI HALALI ATATANGAZWA.
Hayo maigizo yenu ya kitoto mnayoleta mnapoteza muda tu, liwake jua inyeshe mvua, pakuche pasikuche, lazima wapinzani wa maeneo hayo washinde, wenyewe mmejionea muziki wa Lissu ndio maana mmeanza kutetemeka.
Wanakijua kimbunga chake. Just wait and seeWapinzani coco mnahangaika sana, ccm itawanyoosha kama haiwajui
19 Agosti 2020
Moshi, Tanzania
MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO AMTAKA DC SABAYA KUMPA TAARIFA MSAFARA WA LISSU KUSHAMBULIWA
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, ametoa kauli rasmi ya serikali kuhusiana na vurugu zilizotokea katika mji wa Bomang'ombe wilaya ya Hai wakati mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Tundu Lissu alipofika wilayani humo kutafuta wadhamini.
Katika taarifa hiyo rasmi aliyoitoa leo Agosti 19, 2020, mkuu huyo wa mkoa ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa huo, amemtaka mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, kumpatia taarifa ya maandishi ya namna alivyoshughulikia suala hilo.
Source : Mwananchi digita
Ndugu zangu watanzania,
Kwakweli Mungu ni mwema kwa ametupa siku ya leo tena.
Ndugu zangu, inapotekea vipindi kama hivi, watu wanatafuta kura, watatumia mbinu mbali mbali, hasa wale ambao wenye sera mfirisi. Nimejiuliza maswali kadhaa hivi:
- Je, ni kweli Chama Cha Mapinduzi (CCM), wachome moto ofisi ya chama cha siasa ili wajipatie kura?
- Kura zinatokana na kuchoma moto office ya chama cha siasa?
- Je, mnazijua vizuri huruka za wabunge wa majimbo ambako office hizo zimechomwa moto? Wengine si wako kwenye idala ya ujasusi wa vyama hivyo?
- Je, uwezekano wa kujichomea haupo pale kweli?
- Kwani haya matukio hayawezi kuwa na correlation na hili (
- Je, huu si mpango wa kuharibu taswira ya uchaguzi, ili matamko kama ya balozi fulani hivi kuwa na nguvu?
- Je, inakuaje mgombea fulani hivi anafanya dhiara mpaka usiku (
Ushauri wangu kwa vyama kama hivi, wajikite kwenye sera tu, sisi wananchi tunawasikia, tutawapima, then tutafanya maamuzi October, 28, 2020.
Asante,
Nawasilisha,
Kejuu
WATU WAJIKITE KATIKA SHUGHULI ZA KUJENGA UCHUMI. TULIZOE KUPIGA POLOJO TU, KAZI HAKUNA. HAUNA HABARI SAIZI SERIKELI INAFINANCE HUU UCHAGUZI KWA 100%. HUYO NDO JPM, HALEI UJINGA YULE. ULIONA KWENYE CORONA? MAKINIKIA? HIYO MIAKA 5 TU, WAKATANGAZA WENYEWE KWENYE MIDDLE-INCOME COUNTRY, UPO MKUU?KUZUIA SHUGHULI ZA VYAMA VYA SIASA NI JANJA JANJA ILIYOLENGA KUPATA NINI?
Tayari mkuu wa mkoa amesharichukulia hatuaHaya maswali vyombo vya Usalama ndio vina jukumu la kuyachunguza.Sidhani kama Chama Kikuu kinaweza jidhuru chenyewe
alright, it's for you my friendPoor analysis!!!!!!!
Kimbunga cha nini ?Wanakijua kimbunga chake. Just wait and see
Unaamini katika pumba za aina hii ?WATU WAJIKITE KATIKA SHUGHULI ZA KUJENGA UCHUMI. TULIZOE KUPIGA POLOJO TU, KAZI HAKUNA. HAUNA HABARI SAIZI SERIKELI INAFINANCE HUU UCHAGUZI KWA 100%. HUYO NDO JPM, HALEI UJINGA YULE. ULIONA KWENYE CORONA? MAKINIKIA? HIYO MIAKA 5 TU, WAKATANGAZA WENYEWE KWENYE MIDDLE-INCOME COUNTRY, UPO MKUU?
We uko tz kweli?Unaamini katika pumba za aina hii ?
Tafakari kidogo. Mkapa aliacha uchumi ukikua kwa 7%, Kikwete na hadi leo kiwango cha ukuaji kile kile. Ajira hazijaongezeka licha ya kupunguzwa wengine kihuni(vyeti fake) na kudhulumiwa haki zao. Mishahara imedumazwa,biashara ndogo ndogo na za kati zimesinyaa na kufungwa,deni la Taifa "limenenepa" ,Elimu ya bure imegeuka kuwa bure elimu,uhusiano na nchi zingine wa mashaka1 Hayo mafanikio yapi na kwa faida ya nani,kwa vigezo vipi?