Tafakuri huru: Choma choma moto ya Ofisi za Vyama vya Siasa, siyo janja janja ya kutafuta kura za Huruma ya Wananchi?

Ila chadema jamani mungu anawaona Mara mbowe kavamiwa katibu mkuu mbele ya luninga akatutangazia muda si mrefu chama kitaanika kilichotokea Sasa kimya bado tunasubilia ,n.k n.k
 
Kuna maswali mengi mno ya kijiuliza mkuu
Viongozi nao wanavamiwa Hadi wanavunjwa mguu walinzi wako wapi?? Ofisi zinachomwa walinzi wako wapi?? Chadema Ni taasisi kubwa Sana ni kweli hawana walinzi hata wa upinde?? Naomba kujuzwa tafadhali
 
Viongozi nao wanavamiwa Hadi wanavunjwa mguu walinzi wako wapi?? Ofisi zinachomwa walinzi wako wapi?? Chadema Ni taasisi kubwa Sana ni kweli hawana walinzi hata wa upinde?? Naomba kujuzwa tafadhali
Watakuja wakupopomee tu hapa chifu
 
Ila chadema jamani mungu anawaona Mara mbowe kavamiwa katibu mkuu mbele ya luninga akatutangazia muda si mrefu chama kitaanika kilichotokea Sasa kimya bado tunasubilia ,n.k n.k
Ni unafiki tu. Ulimsikia Msigwa alivyosema kuwa alimsingia kinana?
 
Wapinzani coco mnahangaika sana, ccm itawanyoosha kama haiwajui
 
Good decision
 
KUZUIA SHUGHULI ZA VYAMA VYA SIASA NI JANJA JANJA ILIYOLENGA KUPATA NINI?
 
Hoja yako inaweza kuwa na nguvu iwapo polisi watalichunguza hili na kulitolea taarifa na wahusika kukamatwa,ila nje ya hapo HAPANA.
 
Haya maswali vyombo vya Usalama ndio vina jukumu la kuyachunguza.Sidhani kama Chama Kikuu kinaweza jidhuru chenyewe
 
Katika akili ya kawaida huwezi kichoma ofisi yako
Hivi unajua adhabu ya kosa la kuchoma moto? Adhabu yake ni kifungo cha Maisha jela halina faini, nani arisk kwenda jela maisha?
 
KUZUIA SHUGHULI ZA VYAMA VYA SIASA NI JANJA JANJA ILIYOLENGA KUPATA NINI?
WATU WAJIKITE KATIKA SHUGHULI ZA KUJENGA UCHUMI. TULIZOE KUPIGA POLOJO TU, KAZI HAKUNA. HAUNA HABARI SAIZI SERIKELI INAFINANCE HUU UCHAGUZI KWA 100%. HUYO NDO JPM, HALEI UJINGA YULE. ULIONA KWENYE CORONA? MAKINIKIA? HIYO MIAKA 5 TU, WAKATANGAZA WENYEWE KWENYE MIDDLE-INCOME COUNTRY, UPO MKUU?
 
Unaamini katika pumba za aina hii ?
Tafakari kidogo. Mkapa aliacha uchumi ukikua kwa 7%, Kikwete na hadi leo kiwango cha ukuaji kile kile. Ajira hazijaongezeka licha ya kupunguzwa wengine kihuni(vyeti fake) na kudhulumiwa haki zao. Mishahara imedumazwa,biashara ndogo ndogo na za kati zimesinyaa na kufungwa,deni la Taifa "limenenepa" ,Elimu ya bure imegeuka kuwa bure elimu,uhusiano na nchi zingine wa mashaka1 Hayo mafanikio yapi na kwa faida ya nani,kwa vigezo vipi?
 
We uko tz kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…