Tafakuri: Kuna nini nyuma ya mashambulizi haya kwa Makamba?

Kumekuwa na mfululizo wa threads za kumpondea Makamba kila uchao!

Akijikwaa basi inafunguliwa thread hasi dhidi yake;

Akikohoa basi inafunguliwa thread hasi dhidi yake;

Akisalimia basi inafunguliwa thread hasi dhidi yake;

Akisalimia hali hiyohiyo;

Akitoa zawadi, kama wanavyofanya wengine ambao walikuwa wanagawa mpaka hela, hali hiyohiyo;

Akikaa kimya hali hiyohiyo;

Threads zote hizi, zinakuwa na shutuma moja au mbili tu kuu; MAKAMBA MWIZI NA ALIFELI KIDATO CHA NNE ingawa kuna ulazimishaji wa nyingine pia kuwa eti ANAMSEMA MAREHEMU JPM! Cha kuchekesha, threads zote hizo hakuna hata moja inayotoa ushahidi wa huo wizi na huko kufeli kwake.

Na cha kuchekesha zaidi ni kuwa baadhi ya wanaotoa shutuma hizo wamefeli vibaya, katika elimu hadi maisha, na ushahidi wa kufeli kwao upo wazi kabisa kuliko huyo Makamba.

Hili jambo, kwa jicho la tatu, linafikirisha sana. Kwa hakika hapa kuna kitu si bure hii. Labda uwe poyoyo ndio hutoona kuwa kuna jambo la hila limejificha hapa!

Yule Musiba alipokuwa anakesha na kuwezeshwa vizuri kumtukana Makamba huyu, alijibu kidogo tu lkn kwa ufasaha kabisa kuwa, 'Siwezi kujibizana na mjinga!'

Juzi hapa kawajibu kidogo tu hawa wachambaji wa mitandaoni kuwa wasilete upuuzi wao, basi wamejifanya kubadili gia na kulipeleka jibu hilo kwa kamati ya bunge wakiamini litamuathiri zaidi na mamia ya threads sasa yanafunguliwa kwa ajili hiyo.

Unless proved otherwise, nitaendelea kuuona usmart wa Makamba vizuri kabisa katika nafasi ya uongozi alionao na hata kuzidi hiyo!
Wewe ndo February mwenyewe, endelea kuwaambia watanzania wapuuzi. Wakati wenu huu walamba asali.
 
Njaaa, sasa hivi watu tuna njaa hatari, chuki tunazipeleka kwa wenye fursa tu. Watu wanamchukia kwa sababu yeyote ata kama haimuhusu. Ila naamini wanampa umaarufu tu, maana wabongo uchukia ukiwaambia ukweli na upiga yowe la furaha wakisikia uongo.
 
Marope ni kilaza full stop…

Huyu jamaa labda Ukurugenzi wa mawasiliano Ikulu ungemfaa…
 
Njaaa, sasa hivi watu tuna njaa hatari, chuki tunazipeleka kwa wenye fursa tu. Watu wanamchukia kwa sababu yeyote ata kama haimuhusu. Ila naamini wanampa umaarufu tu, maana wabongo uchukia ukiwaambia ukweli na upiga yowe la furaha wakisikia uongo.
Huu nafikiri ni ukweli mmojawapo! Njaa inaleta chuki sana kwa waliofanikiwa!
 
Kumekuwa na mfululizo wa threads za kumpondea Makamba kila uchao!

Akijikwaa basi inafunguliwa thread hasi dhidi yake;

Akikohoa basi inafunguliwa thread hasi dhidi yake;

Akisalimia basi inafunguliwa thread hasi dhidi yake;

Akisalimia hali hiyohiyo;

Akitoa zawadi, kama wanavyofanya wengine ambao walikuwa wanagawa mpaka hela, hali hiyohiyo;

Akikaa kimya hali hiyohiyo;

Threads zote hizi, zinakuwa na shutuma moja au mbili tu kuu; MAKAMBA MWIZI NA ALIFELI KIDATO CHA NNE ingawa kuna ulazimishaji wa nyingine pia kuwa eti ANAMSEMA MAREHEMU JPM! Cha kuchekesha, threads zote hizo hakuna hata moja inayotoa ushahidi wa huo wizi na huko kufeli kwake.

Na cha kuchekesha zaidi ni kuwa baadhi ya wanaotoa shutuma hizo wamefeli vibaya, katika elimu hadi maisha, na ushahidi wa kufeli kwao upo wazi kabisa kuliko huyo Makamba.

Hili jambo, kwa jicho la tatu, linafikirisha sana. Kwa hakika hapa kuna kitu si bure hii. Labda uwe poyoyo ndio hutoona kuwa kuna jambo la hila limejificha hapa!

Yule Musiba alipokuwa anakesha na kuwezeshwa vizuri kumtukana Makamba huyu, alijibu kidogo tu lkn kwa ufasaha kabisa kuwa, 'Siwezi kujibizana na mjinga!'

Juzi hapa kawajibu kidogo tu hawa wachambaji wa mitandaoni kuwa wasilete upuuzi wao, basi wamejifanya kubadili gia na kulipeleka jibu hilo kwa kamati ya bunge wakiamini litamuathiri zaidi na mamia ya threads sasa yanafunguliwa kwa ajili hiyo.

Unless proved otherwise, nitaendelea kuuona usmart wa Makamba vizuri kabisa katika nafasi ya uongozi alionao na hata kuzidi hiyo!
Swala MOJA tu ,wizara yake ngum,ila apunguze maneno ya kebehi
 
Hizo ripoti is nothing kama hakuna nia ya kutake action kwa mwenye mamlaka.

Kama aliyemweka anaona hizo ripoti majungu tu basi hali itabakia kama ilivyo.

Mifano ipo mingi ya aina hii.

Kuhusiana na umeme inaonekana kama anajihujumu mwenyewe maana kabla ya yeye kuwa waziri umeme haukua tatizo ila kwa sasa ni tatizo na ananekana kupigia debe wazi wazi biashara za watu.(gesi).

Kwanini asiulizwe??

Nchi sio ya mama yake, atambue hilo. Ni ya kila Mtanzania na ataulizwa maswali muda wowote ule.

Kama hataki maswali aache hiyo nafasi maana sio lazima sana awe kiongozi.
Safi Sana[emoji106]
 
Wazoefu wa maisha ya hapa nchini wanajua vizuri kuwa kukatika kwa umeme hakujawahi kuisha nchi hii enzi na enzi......labda mwenzetu ulikuwa unaishi nje ya nchi
Kukatika hakujawahi kuisha ila kukatika kila Mara, hivi Sasa imekua too much
 
Back
Top Bottom