nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,408
- 2,196
Kiongozi usipowasikiliza wananchi wanataka nini hufai hata kuwatumia tena. Nenda kaendeshe kokoro lako huko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, hapana, hapana!Mleta mada unaonekana wewe ndie makamba mwenyewe
SawaKiongozi usipowasikiliza wananchi wanataka nini hufai hata kuwatumia tena. Nenda kaendeshe kokoro lako huko.
Umeme kukatika mara KWA Mara ni factor ya yeye kushambuliwa na kuna impact ya Moja kwa Moja KWA wananchi tena za KILA SIKU!!!Mradi mkubwa kama ule ndg makadirio ya kukamilika kwake huwa kunaendana na 'if all factors will remain constant'. Sasa tuulizane kiongozi; je, tangu ilipotoka ahadi hiyo, kila jambo lipo vile vile?!!!
Ushahidi wa hili upo pia ktk kuchelewa kwa mabarabara, madaraja n.k na imekuwa hivyo, kwa kumbukumbu zangu katika vipindi vyote va uraisi. Daraja la mto wami limechelewa, sgr imechelewa, vivuko vilichelewa n.k mbona sisikii au sikusikia matusi mengi kwa mawaziri wa huko?!!!!
Threat kwa mbio za kumrithi SSH 2030.Kumekuwa na mfululizo wa threads za kumpondea Makamba kila uchao.......!
Akijikwaa basi inafunguliwa thread hasi dhidi yake;
Akikohoa basi inafunguliwa thread hasi dhidi yake;
Akisalimia basi inafunguliwa thread hasi dhidi yake;
Akisalimia hali hiyohiyo;
Akitoa zawadi, kama wanavyofanya wengine ambao walikuwa wanagawa mpaka hela, hali hiyohiyo;
Akikaa kimya hali hiyohiyo;
Threads zote hizi, zinakuwa na shutuma moja au mbili tu kuu; MAKAMBA MWIZI NA ALIFELI KIDATO CHA NNE ingawa kuna ulazimishaji wa nyingine pia kuwa eti ANAMSEMA MAREHEMU JPM! Cha kuchekesha, threads zote hizo hakuna hata moja inayotoa ushahidi wa huo wizi na huko kufeli kwake.
Na cha kuchekesha zaidi ni kuwa baadhi ya wanaotoa shutuma hizo wamefeli vibaya, katika elimu hadi maisha, na ushahidi wa kufeli kwao upo wazi kabisa kuliko huyo Makamba.
Hili jambo, kwa jicho la tatu, linafikirisha sana. Kwa hakika hapa kuna kitu si bure hii. Labda uwe poyoyo ndio hutoona kuwa kuna jambo la hila limejificha hapa!
Yule Musiba alipokuwa anakesha na kuwezeshwa vizuri kumtukana Makamba huyu, alijibu kidogo tu lkn kwa ufasaha kabisa kuwa, 'Siwezi kujibizana na mjinga!'
Juzi hapa kawajibu kidogo tu hawa wachambaji wa mitandaoni kuwa wasilete upuuzi wao, basi wamejifanya kubadili gia na kulipeleka jibu hilo kwa kamati ya bunge wakiamini litamuathiri zaidi na mamia ya threads sasa yanafunguliwa kwa ajili hiyo.
Unless proved otherwise, nitaendelea kuuona usmart wa Makamba vizuri kabisa katika nafasi ya uongozi alionao na hata kuzidi hiyo!!
Kumbe!!!Threat kwa mbio za kumrithi SSH 2030.
Basi itakuwa wana matatizo ya kijinsia!Hawampendi
Wanao mwandika vizuri, wanao mwandika vibaya wote ni wale wale, wanabadiri id, na wengine wanazo kwa kutumia majina tofauti tofauti. Nia yao ni moja, kumtangaza makamba. Japo mama akibadiri baraza la mawaziri alidai kuwa enguwa wanao taka kugombea urais 2025, hakuwauliza alio taka kuwa teua kama nao wana wazo sawa na anao waengua.Kumekuwa na mfululizo wa threads za kumpondea Makamba kila uchao!
Akijikwaa basi inafunguliwa thread hasi dhidi yake;
Akikohoa basi inafunguliwa thread hasi dhidi yake;
Akisalimia basi inafunguliwa thread hasi dhidi yake;
Akisalimia hali hiyohiyo;
Akitoa zawadi, kama wanavyofanya wengine ambao walikuwa wanagawa mpaka hela, hali hiyohiyo;
Akikaa kimya hali hiyohiyo;
Threads zote hizi, zinakuwa na shutuma moja au mbili tu kuu; MAKAMBA MWIZI NA ALIFELI KIDATO CHA NNE ingawa kuna ulazimishaji wa nyingine pia kuwa eti ANAMSEMA MAREHEMU JPM! Cha kuchekesha, threads zote hizo hakuna hata moja inayotoa ushahidi wa huo wizi na huko kufeli kwake.
Na cha kuchekesha zaidi ni kuwa baadhi ya wanaotoa shutuma hizo wamefeli vibaya, katika elimu hadi maisha, na ushahidi wa kufeli kwao upo wazi kabisa kuliko huyo Makamba.
Hili jambo, kwa jicho la tatu, linafikirisha sana. Kwa hakika hapa kuna kitu si bure hii. Labda uwe poyoyo ndio hutoona kuwa kuna jambo la hila limejificha hapa!
Yule Musiba alipokuwa anakesha na kuwezeshwa vizuri kumtukana Makamba huyu, alijibu kidogo tu lkn kwa ufasaha kabisa kuwa, 'Siwezi kujibizana na mjinga!'
Juzi hapa kawajibu kidogo tu hawa wachambaji wa mitandaoni kuwa wasilete upuuzi wao, basi wamejifanya kubadili gia na kulipeleka jibu hilo kwa kamati ya bunge wakiamini litamuathiri zaidi na mamia ya threads sasa yanafunguliwa kwa ajili hiyo.
Unless proved otherwise, nitaendelea kuuona usmart wa Makamba vizuri kabisa katika nafasi ya uongozi alionao na hata kuzidi hiyo!
Mlishaanza kusahau katika kipindi kipi? Cha yule mliesema ni mshamba na dikteta?Makamba blah blah na confidence za ovyo kwenye media Ni nyingi mno ila kiuhalisia utendaji wake Ni sifuri,
Ameturudisha nyuma Sana kimaendeleo hasa upande wa umeme, Upuuz wa mgao,majenereta na kukatika katika ovyo kwa umeme tulishaanza kusahau kabisa watanzania[emoji3525]
Ile wizara siyo kwamba aliipatia!Makamba
wizara ya mazingira na muungano alifanya vizur Sana, huku kwenye wizara zinazogusa maisha ya wengi na zenye changamoto Sana ameprove failure sana, haziwezi kabisa.
Kuna kipindi flan tulidhan angeweza kua presidential material, ila Hii wizara ya nishati imemshushia credibility mno.
Majukumu ya tiss yalibadirika toka enzi za magufuli, toka kuangalia usalama wa nchi na kuwa kitengo cha ulinzi wa rais. Hujuma kubwa za ufisadi wa mali ya umma siku hizi hakuna idara ya kuumulika.Yani afanye hujuma Halafu tiss wanamuangalia tu ! Mkuu labda hujui gvt coordination inavyofanya kazi kila waziri na wizara kuna nyoka maalumu wanaoripoti kwà mama direct kila kitu sasa hiyo hujuma anaifanyia wapi?
Poyoyo mwenzako.Wamemtoa Kalemani kwa majungu
Wewe kama ni kimada wake huwezi kuziona Dosari hizo,sababu mnalamba asali pamoja.Kumekuwa na mfululizo wa threads za kumpondea Makamba kila uchao!
Akijikwaa basi inafunguliwa thread hasi dhidi yake;
Akikohoa basi inafunguliwa thread hasi dhidi yake;
Akisalimia basi inafunguliwa thread hasi dhidi yake;
Akisalimia hali hiyohiyo;
Akitoa zawadi, kama wanavyofanya wengine ambao walikuwa wanagawa mpaka hela, hali hiyohiyo;
Akikaa kimya hali hiyohiyo;
Threads zote hizi, zinakuwa na shutuma moja au mbili tu kuu; MAKAMBA MWIZI NA ALIFELI KIDATO CHA NNE ingawa kuna ulazimishaji wa nyingine pia kuwa eti ANAMSEMA MAREHEMU JPM! Cha kuchekesha, threads zote hizo hakuna hata moja inayotoa ushahidi wa huo wizi na huko kufeli kwake.
Na cha kuchekesha zaidi ni kuwa baadhi ya wanaotoa shutuma hizo wamefeli vibaya, katika elimu hadi maisha, na ushahidi wa kufeli kwao upo wazi kabisa kuliko huyo Makamba.
Hili jambo, kwa jicho la tatu, linafikirisha sana. Kwa hakika hapa kuna kitu si bure hii. Labda uwe poyoyo ndio hutoona kuwa kuna jambo la hila limejificha hapa!
Yule Musiba alipokuwa anakesha na kuwezeshwa vizuri kumtukana Makamba huyu, alijibu kidogo tu lkn kwa ufasaha kabisa kuwa, 'Siwezi kujibizana na mjinga!'
Juzi hapa kawajibu kidogo tu hawa wachambaji wa mitandaoni kuwa wasilete upuuzi wao, basi wamejifanya kubadili gia na kulipeleka jibu hilo kwa kamati ya bunge wakiamini litamuathiri zaidi na mamia ya threads sasa yanafunguliwa kwa ajili hiyo.
Unless proved otherwise, nitaendelea kuuona usmart wa Makamba vizuri kabisa katika nafasi ya uongozi alionao na hata kuzidi hiyo!
Kumbe mashemales mkitoka kufirimbwa ndo huwa mbakuwa hivi.....ptuuuuu!!!!Wewe kama ni kimada wake huwezi kuziona Dosari hizo,sababu mnalamba asali pamoja.
Pia wewe ni mpuuzi usiyeweza kuona kile ambacho watanzania wengine wanakiona.
Narudia kusema wewe na Makambajr5 ndio wapuuzi kwa sababu bila uteuzi maisha ya mtaani hamuyawezi.
Wenye akili wako mtaani na wapuuzi ndio wanalamba asali.
Time will Tell!
Hilo mimi sijui, mi nimeuliza tu kuhusu ushahidi wa wizi wa makamba basi! Nimeshuhudia nawaziri weeeengi mno wakitoka na kuingia na hata sijasikia habari za aliyetoka kufanyiwa majungu.....ila kalemani kafanyiwa majungu. Aisee, kwakuwa sijui basi acha nijikalie kimya tu kuhgsu hilo.Wamemtoa Kalemani kwa majungu