Tafakuri: Kuna nini nyuma ya mashambulizi haya kwa Makamba?

Afai huyu mtu ni hatari kwa maendeleo ya taifa, ni poor performance kama mwigulu, kigwangala.
 
Wanaomkosoa makamba,
wengi wanamkosoa kwa hoja na kueleza wazi mapungufu yake kiutendaji.

Ila wengi wanaomtetea makamba,
wanajaribu kuhamisha mjadala na kuufanya too personal kwa kutokujibu hoja na kuegemea upande wa chuki,wivu au husda kwenye uwaziri wake.

Hivi kwani tangu Uhuru hii wizara imepata mawaziri wangapi wa nishati Kias kwamba yeye TU ndio ionekane anaonewa wivu na wenzake?

Hivi hii wizara inaingiza sh. Ngapi kwamba ionekane Ndio wizara Lulu kuliko wizara nyingine zote?

Mbona malalamiko ya makamba hatuyaskii wizara ya utalii, wizara ya madini, na wizara nyingine zenye mafungu lukuki?
Rudia tena hapo nilipobold na kukuza, rudia tena hapo nilipobold na kuweka italics kisha amua tu kuwa mkweli na utuambie ukweli wenyewe!
 
Kumekuwa na mfululizo wa threads za kumpondea Makamba kila uchao.......!

Akijikwaa basi inafunguliwa thread hasi dhidi yake;

Akikohoa basi inafunguliwa thread hasi dhidi yake;

Akisalimia basi inafunguliwa thread hasi dhidi yake;

Akisalimia hali hiyohiyo;

Akitoa zawadi, kama wanavyofanya wengine ambao walikuwa wanagawa mpaka hela, hali hiyohiyo;

Akikaa kimya hali hiyohiyo;

Threads zote hizi, zinakuwa na shutuma moja au mbili tu kuu; MAKAMBA MWIZI NA ALIFELI KIDATO CHA NNE ingawa kuna ulazimishaji wa nyingine pia kuwa eti ANAMSEMA MAREHEMU JPM! Cha kuchekesha, threads zote hizo hakuna hata moja inayotoa ushahidi wa huo wizi na huko kufeli kwake.

Na cha kuchekesha zaidi ni kuwa baadhi ya wanaotoa shutuma hizo wamefeli vibaya, katika elimu hadi maisha, na ushahidi wa kufeli kwao upo wazi kabisa kuliko huyo Makamba.

Hili jambo, kwa jicho la tatu, linafikirisha sana. Kwa hakika hapa kuna kitu si bure hii. Labda uwe poyoyo ndio hutoona kuwa kuna jambo la hila limejificha hapa!

Yule Musiba alipokuwa anakesha na kuwezeshwa vizuri kumtukana Makamba huyu, alijibu kidogo tu lkn kwa ufasaha kabisa kuwa, 'Siwezi kujibizana na mjinga!'

Juzi hapa kawajibu kidogo tu hawa wachambaji wa mitandaoni kuwa wasilete upuuzi wao, basi wamejifanya kubadili gia na kulipeleka jibu hilo kwa kamati ya bunge wakiamini litamuathiri zaidi na mamia ya threads sasa yanafunguliwa kwa ajili hiyo.

Unless proved otherwise, nitaendelea kuuona usmart wa Makamba vizuri kabisa katika nafasi ya uongozi alionao na hata kuzidi hiyo!!
Mti wenye matamu ndio unaopigwa mawe ,
Wanaomtukana na kumdhihaki January Ni wafuasi na wakala wa yule Ibilisi , wanafanya hivyo kwasababu January ana msimamo wa kile anacho kiamini na wakati ule hakuwa tayari kumuomba radhi Ibilisi Hadi Mungu alipoamua Ugomvi.
 
Makamba blah blah na confidence za ovyo kwenye media Ni nyingi mno ila kiuhalisia utendaji wake Ni sifuri,

Ameturudisha nyuma Sana kimaendeleo hasa upande wa umeme, Upuuz wa mgao,majenereta na kukatika katika ovyo kwa umeme tulishaanza kusahau kabisa watanzania[emoji3525]
wajinga nyie mnamchukia sababu ya dini yake, hivi nyie wakristo mnataka kila nafasi mkae nyie au?
 
Tiss hawawezi kua na Nguvu Kama kiongozi no 1 hajaona mapunguf yake na kukekemea.

Tulikua na sabaya,musiba n.k
Wamefanya maovu mengi ila kwasababu kiongozi no 1 hajakemea Basi yalionekana Ni mema TU na hao hao TISS waliufyata

Tatizo la nchi hii Ni mfumo
Maamuz makubwa ya Nchi hii yanategemea upepo wa raisi unavuma kuelekea wapi mkuu.
kwahiyo unataka aondolewe makamba awekwe nani!
 
Makamba blah blah na confidence za ovyo kwenye media Ni nyingi mno ila kiuhalisia utendaji wake Ni sifuri,

Ameturudisha nyuma Sana kimaendeleo hasa upande wa umeme, Upuuz wa mgao,majenereta na kukatika katika ovyo kwa umeme tulishaanza kusahau kabisa watanzania[emoji3525]
Ni mjinga pekee atamshabikia huyo fwala
 
Sukuma gang walichukia sana mtu wao Kalemani alipotumbuliwa na kuteuliwa Makamba. Hiki ndicho chanzo cha chuki.

Kalemani, Msukuma, Gwajima, Kabudi, prof. Mkumbo, n.k ni nyoka wa sukuma gang
Taahi.ra wewe, mwambie JM tunafahamu kuwa yeye ni sehemu ya akina "Kigogo" na watalipa.
 
Kumekuwa na mfululizo wa threads za kumpondea Makamba kila uchao.......!

Akijikwaa basi inafunguliwa thread hasi dhidi yake;

Akikohoa basi inafunguliwa thread hasi dhidi yake;

Akisalimia basi inafunguliwa thread hasi dhidi yake;

Akisalimia hali hiyohiyo;

Akitoa zawadi, kama wanavyofanya wengine ambao walikuwa wanagawa mpaka hela, hali hiyohiyo;

Akikaa kimya hali hiyohiyo;

Threads zote hizi, zinakuwa na shutuma moja au mbili tu kuu; MAKAMBA MWIZI NA ALIFELI KIDATO CHA NNE ingawa kuna ulazimishaji wa nyingine pia kuwa eti ANAMSEMA MAREHEMU JPM! Cha kuchekesha, threads zote hizo hakuna hata moja inayotoa ushahidi wa huo wizi na huko kufeli kwake.

Na cha kuchekesha zaidi ni kuwa baadhi ya wanaotoa shutuma hizo wamefeli vibaya, katika elimu hadi maisha, na ushahidi wa kufeli kwao upo wazi kabisa kuliko huyo Makamba.

Hili jambo, kwa jicho la tatu, linafikirisha sana. Kwa hakika hapa kuna kitu si bure hii. Labda uwe poyoyo ndio hutoona kuwa kuna jambo la hila limejificha hapa!

Yule Musiba alipokuwa anakesha na kuwezeshwa vizuri kumtukana Makamba huyu, alijibu kidogo tu lkn kwa ufasaha kabisa kuwa, 'Siwezi kujibizana na mjinga!'

Juzi hapa kawajibu kidogo tu hawa wachambaji wa mitandaoni kuwa wasilete upuuzi wao, basi wamejifanya kubadili gia na kulipeleka jibu hilo kwa kamati ya bunge wakiamini litamuathiri zaidi na mamia ya threads sasa yanafunguliwa kwa ajili hiyo.

Unless proved otherwise, nitaendelea kuuona usmart wa Makamba vizuri kabisa katika nafasi ya uongozi alionao na hata kuzidi hiyo!!
Habari za asubuhi Bwana Makamba!
 
Shida ya Makamba Jr ni kutegemea siasa kuendesha maisha yake.
Lingine huwa akiongea anajiona "smart" sana kuliko wasikilizaji, ila ktk wababaishaji no 1 ni huyo Jamaa.
Lingine kama upo karibu yake mwambie, aombe apewe wizara nyepesi. Hana ajuacho. Atatukana Kila mtu awamu hii.
Wizara hiyo ina changamoto nyingi sana. Mtu pekee aliyekuwa na uelekeo wa kuimudu ni Prof. Muhongo. Bahati mbsya awamu ya 5 ilikuwa haiwataki watu wenye independent brain.
 
Mti wenye matamu ndio unaopigwa mawe ,
Wanaomtukana na kumdhihaki January Ni wafuasi na wakala wa yule Ibilisi , wanafanya hivyo kwasababu January ana msimamo wa kile anacho kiamini na wakati ule hakuwa tayari kumuomba radhi Ibilisi Hadi Mungu alipoamua Ugomvi.

Siyo kila kitu kiko kama unavyofikiria. Miti yenye bundi, nyoka, kenge n.k. nayo inapigwa mawe.

Pia siyo kila kitu unachokiamini kiko sahihi. Hivyo unachoamini, siyo lazima kiwe sahihi.
 
Back
Top Bottom