DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Makamba mjivuni Sana,makamba ni mmoja kati ya mawaziri mizigo na zumbukuku...
ni aibu kumsifia waziri makamba huku kila baada ya nusu saa umeme unakata.. na kwa bahati nzuri hiyo hali hakuikuta, hivyo yeye ndio sababu
unasema anatuzidi maisha na elimu, yea uko sahihi...
hakuna mtanzania anayejadili utajili wake wala elimu yake, tunachotaka amalize kero za wizara yake.
Badala ya kujibu kero za wananchi, anatuletea mambo zake binafsi[emoji3525]