Tafakuri: Kuna nini nyuma ya mashambulizi haya kwa Makamba?

Wewe ndo February mwenyewe, endelea kuwaambia watanzania wapuuzi. Wakati wenu huu walamba asali.
 
Njaaa, sasa hivi watu tuna njaa hatari, chuki tunazipeleka kwa wenye fursa tu. Watu wanamchukia kwa sababu yeyote ata kama haimuhusu. Ila naamini wanampa umaarufu tu, maana wabongo uchukia ukiwaambia ukweli na upiga yowe la furaha wakisikia uongo.
 
Marope ni kilaza full stop…

Huyu jamaa labda Ukurugenzi wa mawasiliano Ikulu ungemfaa…
 
Njaaa, sasa hivi watu tuna njaa hatari, chuki tunazipeleka kwa wenye fursa tu. Watu wanamchukia kwa sababu yeyote ata kama haimuhusu. Ila naamini wanampa umaarufu tu, maana wabongo uchukia ukiwaambia ukweli na upiga yowe la furaha wakisikia uongo.
Huu nafikiri ni ukweli mmojawapo! Njaa inaleta chuki sana kwa waliofanikiwa!
 
Swala MOJA tu ,wizara yake ngum,ila apunguze maneno ya kebehi
 
Safi Sana[emoji106]
 
Wazoefu wa maisha ya hapa nchini wanajua vizuri kuwa kukatika kwa umeme hakujawahi kuisha nchi hii enzi na enzi......labda mwenzetu ulikuwa unaishi nje ya nchi
Kukatika hakujawahi kuisha ila kukatika kila Mara, hivi Sasa imekua too much
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…