Makamba mjivuni Sana,makamba ni mmoja kati ya mawaziri mizigo na zumbukuku...
ni aibu kumsifia waziri makamba huku kila baada ya nusu saa umeme unakata.. na kwa bahati nzuri hiyo hali hakuikuta, hivyo yeye ndio sababu
unasema anatuzidi maisha na elimu, yea uko sahihi...
hakuna mtanzania anayejadili utajili wake wala elimu yake, tunachotaka amalize kero za wizara yake.
Wee sio wa kuandika hivyo mkuuMlishaanza kusahau katika kipindi kipi? Cha yule mliesema ni mshamba na dikteta?
Kuleni democrasia sasa.
KaribuniLink ipo chini, katazame huko youtube, like na u subscribe asante sana.
Filamu Pictures, wanawaletea kazi ya filamu ya kitanzania iitwayo PETE
Kutana na Bwana Lidawi, mvuvi mwenye hali ngumu na mke mgonjwa na jinsi anavyoingia matatizoni kutokana na pete ya maajabu iliyofika katika ulimwengu wa wanadamu kwa ajili ya kazi maalum
Kutana na Bwana Songolo mtu tajiri, mkorofi na mkali sana, ambaye nae anajikuta yuko katikati ya mikasa hiyo ipatayo bwana Lidawi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wee sio wa kuandika hivyo mkuuView attachment 2295646