I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
1) Muda u taratibu unaposubiri jambo.
2) Muda u haraka unapokuwa umechelewa kitu/jambo.
3) Muda u hatari sana unapokuwa katika hali ya huzuni.
4) Muda u mfupi mno unapokuwa katika wakati mzuri au furaha.
5) Muda u endelevu unapokuwa katika maumivu.
6) Muda u mrefu unapokuwa huna cha kufanya ama (bored).
:: Hivyo muda unatokana na jinsi unavyojisikia na hali yako kisaikolojia na wala si Saa.