Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Naam mkuu, hisia sio Jambo zuri.Ndgu yangu Intelligent businessman anawashauri wanaume kama wewe msiendeshwe na hisia bali akili.
Kwa wivu wa kipumbavu namna hii utakuja kumuua mkeo wewe.
Ungekuwa umeshazoea maana kila siku ungekuwa unaziona zaidi ya 20 tena zenye shepu mbalimbali tena zingine za pisi kali kweli kweli. Hakuna kipya hapo!..aaah! kwahyo huwa wanaangalia njia ipo sawa ama haipa sawa....? Aisee hii kazi nisingeliiweza maana ningelipata kesi.
nimekumbuka siku niko pale temeke wodi ya wazazi ambulance ikaleta wajawazito wa4.....mu1 alikuwa kavaa kanga ile kushuka tu akaanza kushusha maji ya uzazi( amniotic fluid) zilikuwa zinachuruzika kidogo kidogo na sehemu ile ilikuwa waz almost 75 percent na yeye alikuwa hajali anahangaika kuingia labour.......vip mtoa maada unasema dokta anaweza ingia humo eeehUnampeleka mkeo mjamzimto hospitali ama zahanati unakutana na doctor wa kiume ndo ampime nji na ikibidi mpaka kumzalisha anamzalisha.
Yaani inakuwaje kuwaje anafunua sehemu ile na kuangalia kama papo sawa ama hapapo sawa. Hivi imeshindikana nini kuweka ma specialist watakaodeal wakike kwa wakike na wa kiume hivyo hivyo.
Hili linaweza kushawishi hata wakataka kuonja onja hawa. Kuna kijiji fulani nilienda zahanati ni doctor wa kiume ndo anadeal na uzazi mwanzo mwisho.
Hili kwako linakupa tafakuri gani?
Mapenzi yakikolea bana kila kitu unaona kama mwanamke amecheatUnampeleka mkeo mjamzimto hospitali ama zahanati unakutana na doctor wa kiume ndo ampime nji na ikibidi mpaka kumzalisha anamzalisha.
Yaani inakuwaje kuwaje anafunua sehemu ile na kuangalia kama papo sawa ama hapapo sawa. Hivi imeshindikana nini kuweka ma specialist watakaodeal wakike kwa wakike na wa kiume hivyo hivyo.
Hili linaweza kushawishi hata wakataka kuonja onja hawa. Kuna kijiji fulani nilienda zahanati ni doctor wa kiume ndo anadeal na uzazi mwanzo mwisho.
Hili kwako linakupa tafakuri gani?
Wewe ulisema utanipiga makwenzi😔
Nimekupata MkuuHyo sio solution, kuna wakat wa mahudhurio ya clinic wanapopimapima njia sio mara zote nitakuwepo...hujaona kesi imetoka kuelezewa hapo muda si mrefu.
Mimi utani sijazoea sana😔I didn't mean it love...
Why would i wanna hurt my other half ephe..?
Kukuambia ww utoke sioni kama kunashida usijitengenezee akili ya kuwa ukiambiwa hivo basi kinachoendelea ndani ni hicho lasivyo utachukia wahudumu wa afya kote duniani maana kuna vitu mke anaweza asiseme ukiwepo mfano idadi ya watu alioshiriki nao hivi karibuni but kama kuna tuhuma hizo tafuteni ushahidi wekeni mtego. Hatua stahiki zichukuliweHuku kwetu kuna zahanat moja, kuna doctor mmoja ashughulika na maswala ya wajawazito, anatabia, ukpeleka mkeo kuanza clinic ya ujauzito, kuna ile baada ya vipimo vya HIV na ki semina kidogo cha mr & mrs kuhusu maendeleo ya ujauzito, anakuamru mwanaume utoke nje, sasa yule doctor anatabia ya kutomasa wake za watu, anawavua na anawashka kla sehem. Ila dawa yake ipo, tumepanga kumtwanga. Bro kama upo hapa JF, sku za kuuguza manundu zimekarbia kwako
Mimi utani sijazoea sana😔