Tafakuri: Madaktari bingwa wa wanawake kuwa wanaume imekaaje?

Hili akiwa anakushika unavuta hisia ya dyudyu? Sio???
Khaa Kuna watu mna mawazo negative aise au ni tatzo la akili coz it's not normal mtu kuwaza hivi, kwanza unajua uchungu wewe? Yani ushikwe na uchungu unaanzia wapi kupata hisia Madaktari wa kiume tunawependa coz wanajua kuhudumia na hawana visirani Wala huwezi kukuta mwanaume ana gomba gomba tofauti na manesi wakike wanakuaga na visirani mda mwingine
 
Issue ndogo sana hii, mpeleke mkeo akasomee udaktari ili asaidie na wengine
 
Mbona ni kawaida. Ukiwa hosptali hata mawazo ya jinsia hayapo. Mfano kama kipimo cha tezi dume tunachokisikia unaona ni daktari yupi ni sahihi kukipima?
 
Kama ndio hivyo je unaweza kumtia vidole na kumzalisha mama yako?
No hard feelings.
Well mama yangu sasa hivi ni bibi tena bibi kweli kweli
lakini kwenye afya kuna haki za wagonjwa jamani unaweza ukaenda hospitali ukasema sitaki kuhudumiwa na huyu na wakakutafutia mwingine wa kukuhudumia simple like that.

Note: sio kumtia vidole ni kufanya uchunguzi wa njia ya uzazi

Kwa Senario yako tuseme hakuna namna nyingine yoyote ile ya kuhudimiwa na mtu mwingine or kwingine (In real sense hiki kitu hakiwezekani maana watumishi wa afya ni wengi sana) nikimwacha unadhani nitaeleweka? Maana hatatambulika tena kama mama yangu anatambulika kama mama mjamzito na kina bil gate wameweka hela zao kwa wamama wajawazito na watoto unadhani nitaishia wapi nikimwacha eti kisa ni mama yangu

Hii Tanzania ya leo akifa mama mjamzito au akapata shida wakati wa kujifungua umeisha
 
Hao wanawake wanaofanyiwa vitendo hivyo ndio wanaoleta malalamiko kwa waume zao
Pelekeni hayo mashtaka ngazi za juu mbona hawa maboss zao akina DMO/TMO wanasikiliza hizo kero nakuzifanyia kazi ndugu kulalamika tu sio jawabu
 
Huwa mnamuonaje wakati anawatoa nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…