NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Poleni kwa tozo,
Mwenye akili timamu kabisa hawezi fikiri KUWA Mama kaanzisha Tozo kupitia waziri wa fedha Ili kuwaudhi watanzania Ili waje wamchague tena MWAKA 2025.
Pia kwamba Mwigulu nchemba kaanzisha Tozo Ili wananchi wamchukie Halafu ategemee eti MWAKA 2025 achukue fomu ya urais Ili achaguliwe tena huku akitunanga tuhamie Burundi.
Alieanzisha Tozo sio mwigulu wala Mama bali kuna wasiojulikana wamelianzisha kupitia wao Ili kupata chanzo cha vugu vugu la Mabadiliko fulani tuliyoyataka kwa muda mrefu.
Tozo ni chanzo cha muelekeo mpya wa Taifa letu, chanzo cha katiba kupatikana na kifo cha chama Tawala na wapinzani wake Ili vipya vizaliwe baada ya katiba kupatikana.
Kuna mtu anatafutiwa sababu ya kutogombea tena nafasi yake na wengi kutemwa na mfumo Mpya ambao utakuja Baada ya giza la Tozo.
Mama asingeanzisha Tozo Kama kweli anautaka urais Hapo 2025 na Mwigulu kama angeutaka Hapo 2025 Hata wao hawapendi KUHUBIRI Tozo na hawazipendi bali wanapewa maelekezo Ili sababu ya kifo chao kisiasa ipatikane na Mabadiliko kwa mwelekeo mpya yapatikane nchini!!
Ndio màana CHADEMA wamekalia kimya Tozo wala hawatumii nguvu tena kwani wanajua fika Mabadiliko walioyapigania KWA muda mrefu yanenda kutimia wanayasubiria KWA hamu!!
TUSUBIRI
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"