TAFAKURI: Utajisikiaje endapo utaambiwa Wazazi uliohisi wamekuzaa na kukulea kwa miaka mingi si wazazi wako halisi?

Pole sana bloangu,yatapita tu
Kikubwa pumzi na afya njema tu
 
Yaan wewe kijana...ndo unanifanya niamini kweli elimu ni kitu muhimu sana
Yuko Sawa it take nothing to become a father but Take time Heart and every effort to become A dady!
 
Mimi sio mzuri wa kuandika ila unaongelea historia yangu kabisa .

Ni majanga sana HIV /AIDs ikaingia kwenye real family , nikapumbazwa kwa mengi na ni mwaka jana nikaujua ukweli wote nikiwa jela baada ya mambo kuharibika kazini kupitia mzee mmoja huko jela (Keko magereza)

Finally nikafurahia kuingia jela maana nilipelekwa kuambiwa ukweli wa mimi ni nani .

Mirathi ikanipeleka tena mbele ya mahakama , mwisho mshindi nikawa mimi na sasa nazitumbua hizo hela na vyote walivyoacha maana sio kwa kunitesa kisaikolojia kiasi hicho .

Itoshe kusema sio kila anywae pombe ni kupenda kuna muda dunia inatuandama maana familia zinatuuwa bila kujua .

Rest in peace real father , keep in getting the torment wewe mmama usiyejua nini maana ya mtoto. [emoji24]
 
Polee sana Chief, I feel you! Nahisi maumivu uliyonayo ila Wasamehe tu unajua watu wengi huwa hawawezi kutubu na walishajiapiza hivyo...
Wasamehe upunguze uzito moyoni!
Nakumbuka ulishawahi kugusia hii story kwenye jukwa fulani..
 
Polee sana Chief, I feel you! Nahisi maumivu uliyonayo ila Wasamehe tu unajua watu wengi huwa hawawezi kutubu na walishajiapiza hivyo...
Wasamehe upunguze uzito moyoni!
Nakumbuka ulishawahi kugusia hii story kwenye jukwa fulani..
Acha tu daktari , tunaishi na mambo mengi moyoni ila kuna muda tunakubali yaende kama yalivyo sababu hatuna uwezo wa kubadilisha hatma.
 
Nitakubali, na kisha nitadadisi sababu iliyowafanya wafanye hivyo!
1. Kama ni upendo nitawashukuru!

2. Kama ni ubaya nitawasamehe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…