Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan wewe kijana...ndo unanifanya niamini kweli elimu ni kitu muhimu sanasitojiskia vibaya, mzazi ni malezi, kila mtu anaweza kuzaa
nitawaulizia wazazi halisi lakini
😔Pole sana bloangu,yatapita tu
Kikubwa pumzi na afya njema tu
Pole ya nani tena hii?Pole sana bloangu,yatapita tu
Kikubwa pumzi na afya njema tu
Yuko Sawa it take nothing to become a father but Take time Heart and every effort to become A dady!Yaan wewe kijana...ndo unanifanya niamini kweli elimu ni kitu muhimu sana
Yeah,mshamba_hachekwi yupo clever sana yaanYuko Sawa it take nothing to become a father but Take time Heart and every effort to become A dady!
Yuko Vizuri sana nashangaa amejiita mshamba_hachekwiYeah,mshamba_hachekwi yupo clever sana yaan
Si anapenda mishangaz,siyo ushamba huo?😏Yuko Vizuri sana nashangaa amejiita mshamba_hachekwi
🤣🤣🤣🤣🤣 Bhasi yatamuua atakufa kifuaniSi anapenda mishangaz,siyo ushamba huo?😏
🤣🤣🤣Moto anao,mi nilimpea siku moja tu....nikaishia kujisemea moyoni "kwa hiki kibamia ni bora angetulia zake tu"😖
✅🙏Kawaida tu kwangu...
Mi najua mzazi ni yule aliyekulea, maana unaweza ishi na mzazi halisi na asikulee..
Mimi sio mzuri wa kuandika ila unaongelea historia yangu kabisa .Katika pita pita zangu na tafakuri za hapa na pale kwenye kichwa changu.
Nikawaza kuwa itakuwaje endapo Utapata Taarifa kuwa wazazi ulionao/Waliokulea Sio wazazi wako halisi Huenda umekuwa ukijua kuwa ni wazazi wako kwa Takribani miaka 50s, 40s ,30s au hata 20s ya kuishi duniani..
Je, utaukubali ukweli au utaendelea kubishana na ukweli hata baada ya majibu ya DNA
Polee sana Chief, I feel you! Nahisi maumivu uliyonayo ila Wasamehe tu unajua watu wengi huwa hawawezi kutubu na walishajiapiza hivyo...Mimi sio mzuri wa kuandika ila unaongelea historia yangu kabisa .
Ni majanga sana HIV /AIDs ikaingia kwenye real family , nikapumbazwa kwa mengi na ni mwaka jana nikaujua ukweli wote nikiwa jela baada ya mambo kuharibika kazini kupitia mzee mmoja huko jela (Keko magereza)
Finally nikafurahia kuingia jela maana nilipelekwa kuambiwa ukweli wa mimi ni nani .
Mirathi ikanipeleka tena mbele ya mahakama , mwisho mshindi nikawa mimi na sasa nazitumbua hizo hela na vyote walivyoacha maana sio kwa kunitesa kisaikolojia kiasi hicho .
Itoshe kusema sio kila anywae pombe ni kupenda kuna muda dunia inatuandama maana familia zinatuuwa bila kujua .
Rest in peace real father , keep in getting the torment wewe mmama usiyejua nini maana ya mtoto. [emoji24]
Acha tu daktari , tunaishi na mambo mengi moyoni ila kuna muda tunakubali yaende kama yalivyo sababu hatuna uwezo wa kubadilisha hatma.Polee sana Chief, I feel you! Nahisi maumivu uliyonayo ila Wasamehe tu unajua watu wengi huwa hawawezi kutubu na walishajiapiza hivyo...
Wasamehe upunguze uzito moyoni!
Nakumbuka ulishawahi kugusia hii story kwenye jukwa fulani..
Lakini yapo kwenye dunia yetu hayo😅😅Mleta uzi una maswali ya mitego
Ova
Nitakubali, na kisha nitadadisi sababu iliyowafanya wafanye hivyo!Katika pita pita zangu na tafakuri za hapa na pale kwenye kichwa changu.
Nikawaza kuwa itakuwaje endapo Utapata Taarifa kuwa wazazi ulionao/Waliokulea Sio wazazi wako halisi Huenda umekuwa ukijua kuwa ni wazazi wako kwa Takribani miaka 50s, 40s ,30s au hata 20s ya kuishi duniani..
Je, utaukubali ukweli au utaendelea kubishana na ukweli hata baada ya majibu ya DNA