Tafakuri ya FaizaFoxy 7: Shule za kusomea ujinga. Tanzania na propaganda za Udini Shuleni

Sasa Kati yangu na nyie Nani analialia.
Ninyi si ndio mnalialia kila siku mnaonewa sijui mnasingiziwa.

Sasa ulitaka kwetu ujifunze nini Kama unawapenda Alkaida, boko haramu na Al-shabab
HAO ndio ukajifunze kutoka kwao.
Kuonewa nini na kusingiziwa nini? Mbona unayumba!!

Hayo makundi yanahusiana nini na uisilamu? Una uhakika gani kama yanafadhiliwa na waislamu?Kama hujui mafundisho ya dini ni heri utulie, au uliza usichokijua, kuuliza sio ujinga.
 
Haya mambo yanapandikizwa makusudi ili yalete chuki kwenye jamii. Cha kutafakari ni nani anaeyafanya?
Akichukiwa Mwarabu kwa maovu yake wewe mtanzania unapata hasara gani! Kama unawapenda waarabu nenda kaishi Oman ule nao tende.
 
Akichukiwa Mwarabu kwa maovu yake wewe mtanzania unapata hasara gani! Kama unawapenda waarabu nenda kaishi Oman ule nao tende.

Tende na nguruwe ipi bora??

Enzi za ertugrul na Ottoman empire watu kama wewe mngelikua mfu kitambo sana.

Mungu awabariki sana waarabu na waislamu kote duniani,,,

"Hawatakuwa radhi mayahudi na wakristo mpaka mfuate mila zao"
 
Ukweli wa hicho kilichoongelewa kwenye clip. Kama hujaisikiliza basi jitahidi uisikilize upate kujua ukweli, na sio kukaririshwa na wazungu.
Nlchokuwa naulizia Yani Nini kinafanya kitu kiwe ukweli au uongo...kitu ili kiwe ukweli kinatakiwa kiwe Na vigezo Gani?
 
Waarabu walikuwa wafanyabiashara wakubwa wa biashara ya utumwa na ujangili wa wanyamapori.
Hiyo historia itabaki hivyo, penda usipende.

Ni upumbafu mtupu kama bado mmatumbi unaamini ulichokaririshwa huko kanisani.

Sasa unamwambia ndugu yangu faiza "hiyo historia itabaki hivyo, penda usipende" unachekesha sana 😁 yani unajionyesha wazi kuwachukia waarabu/waisilamu, kwa taarifa yako tu ewe mfuasi wa paulo "hujawafikia hata robo ya utu na ukarimu hao waarabu" na kaa ukijua huwapunguzii kitu kijana.
 
Tende na nguruwe ipi bora??

Enzi za ertugrul na Ottoman empire watu kama wewe mngelikua mfu kitambo sana.

Mungu awabariki sana waarabu na waislamu kote duniani,,,

"Hawatakuwa radhi mayahudi na wakristo mpaka mfuate mila zao"
Wala hupaswi kuniuliza swali kama hili. Kama hujawahi kula nguruwe, sasa kula ndo ulinganishe na hizo tende.
 

Kwani hayo mapicha anayoyapinga huyo Profesa yanaelezea nini mama sio hiki nilichokisema.
Hapo ishu kubwa ni UTUMWA hizo picha zinaelezea wahusika wa UTUMWA
 
Punguani wewe mwenye mzigo wa CHUKI moyoni mwako.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Hiimada si mara moja binafsi kuiibua humu JF, miaka kadhaa iliyopita niliibua kwenye uzi wa maandiko tu. Leo nimeileta video.

Umeitazama video? Ni nini ulichokiona humo? Au wewe ni katika waliojazwa ujinga na unataka kuundeleza huo ujinga?

Mimi nimesoma vitabu vyake tangu zamani, hiyo video baki nayo mwenyewe. Maana haiwezi kuwa comprehensive kama kitabu.
 

Sasa mkuu hao wewe unawaona ni waarabu? au kwakua wamevaa Vilemba? Huhisi kama ni wamatumbi wenzio
 
Nlchokuwa naulizia Yani Nini kinafanya kitu kiwe ukweli au uongo...kitu ili kiwe ukweli kinatakiwa kiwe Na vigezo Gani?

Sikiliza hiyo video ujionee, uone picha zilivyobadilishwa, wamemtoa mzungu wakampachika mwarabu, and then wakamtoa mzungu wakamweka mwafrika.
 
Nawashukuru sana wazazi wangu kwa kutokuwa wafuasi wa hii dini ya kingumbaru. Maana ningeirithi hii dini ningekuwa chawa wa waarabu.

Mtu akiwa wa hii dini hata akiwa Professor akianza kuzungumzia waarabu anakuwa na logic kama ya mtoto wa chekechea.

Waarabu ndio walikuwa wafanyabiashara wakubwa wa biashara ya watumwa hapa Afrika Mashariki. Hili halibadiliki milele.
 
Punguani wewe mwenye mzigo wa CHUKI moyoni mwako.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app

Wenye chuki ni ninyi dhidi ya waarabu,, na imewakaa kwenye damu.

Kwakua ninyi mnawachukia waarabu bila sababu basi mnataka na wengine wawachukie. Enzi za ertugrul/ottoman empire watu kama wewe mngefyekelewa mbali maana mnaeneza chuki kwa vizazi na vizazi. Una bahati sana aise@
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…