Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Siyo chuki. Ndio ukweli. Ww hiyo ATM unayo tumia ya 1960s ulikuwepo wakati ina gunduliwa? Hao Waarabu hata ma house girl wa ki Africa wana wanyanyasa sana. Ni ma mbwa sana. Nchi zingine zinashitakiwa kwa utumwa na kulipa. Uturuki imeomba msamaha juzi. Waarabu wana kesi bado ya kueleza Black Slaves walienda wapi wote kwa mkupuo.
View attachment 2683017
Wewe una chuki zako binafsi na sio kuwasemea waarabu wote wabaya, kwanza huna ushahidi wa hilo bali unasikia tuu, hivi ndivyo mnafundishwa huko makanisani na huko mashuleni? Halafu unawaita waarabu mambwa, hivi huoni kuwa unajivunjia heshima! Uislamu mnaupiga vita, waarabu mnawachukia bila sababu.
Kuhusu kunyanyasa ulishuhudia kwa macho yako? Huku kwetu huyaoni yanayotokea! Nikilist ushenzi unaofanyika huku utashikwa na butwaa, au pengine unajua lakini unajitoa ufahamu,,,
So, jitathmini upya kabla kukomenti