Masikini wako tayari kukuharibia hata kwa habari ambazo hazina uthibitisho(hearsay)..Kabla kuelezea tafauti zao, vitu ambavyo wanafanana ni kila mmoja anapenda kukaa kwenye rika lake,mfano matajiri hupenda kujitenga na matajiri wenzao likewise maskini
Lakini tafauti kubwa ni
Kichwa cha tajiri: Kwann yule mzee amesogea sana kuliko mm, lazima niongeze miradi nataka kua #1
kichwa cha maskini: kodi zetu zile, alikuta mali kwenye familia, tuchome kila kitu tuanze upya wote,
yule hana pesa anaringa na mirathi, najuana nae yule hua anakujjaga apa kabisa na namba yake nnayo
Wahenga walisema, umaskini ni laaana, itategemea unaitoa vp hio laaana! (Usirembe mwandiko kwenye pepa gumu)
Jiriwadheni tu ila msisahau leo ni tarehe 5 December na muda umekwisha..wakiona hapaendi soon wapo kwa mganga
Muda umekwisha wewe jifanye unajiriwadha ujinga humu..mbna unawahi sana mwananyamala, kula kula maisha mara ya mwisho
CCM sio political party, CCM ni terrorist organization kama bokoharam, al shabab, Isis au alqaeeda.ziandike tuzione
Ndio mlichobakiza sasa maana muda hamna tena..karibu bia
Mo Dewji ni tajiri namba moja hapa Tanzania, umewahi kuona Watanzania wanamchukia?Kabla kuelezea tafauti zao, vitu ambavyo wanafanana ni kila mmoja anapenda kukaa kwenye rika lake,mfano matajiri hupenda kujitenga na matajiri wenzao likewise maskini
Lakini tafauti kubwa ni
Kichwa cha tajiri: Kwann yule mzee amesogea sana kuliko mm, lazima niongeze miradi nataka kua 1
kichwa cha maskini: kodi zetu zile, alikuta mali kwenye familia, tuchome kila kitu tuanze upya wote,
yule hana pesa anaringa na mirathi, najuana nae yule hua anakujjaga apa kabisa na namba yake nnayo,
una namba yoyote ya jini kutoka chalinze
Cha kwanza nikuiondoa kwenye madaraka iliyojipachika kwa military actionthen?
Moderator ebu mpeni likizo huyu kijana hawezi kuongea bila matusiChawa hawezi kuishi bila binadamu
Chawa ili afe inabidi utumie nguvu ya vidole viwili yaan unakamata Chawa kisha unamshindilia vidole viwili mkunduni kwa pamoja hakikisha unazamisha mpaka mwisho baada ya hapo Chawa atakua amekufa
ubaya zaidi umaskini hua unaingia mpaka kwenye dam, hivo watoto huendelea na generation hio hio! wewe ndo mfano mzuri wa umaskini uliorithishwaMo Dewji ni tajiri namba moja hapa Tanzania, umewahi kuona Watanzania wanamchukia?
Mada yako naelewa inalenga nini, hao ambao wanachukiwa na masikini wa Tanzania sio tu matajiri; wana jina lao special unaogopa kulitaja. Wanaitwa MAFISADI, yani ukiwa fisadi lazima uchukiwe tu hata ukiwachamba vipi wanaokuchukia
Kama issue ilikuwa ni utajiri wao mbona watu hawakuchoma mali za Mo au Bakhressa? Maana hawa ndo matajiri wakubwa hapa Tanzania