Tafauti pekee ya kimawazo kati ya tajiri na maskini

Tafauti pekee ya kimawazo kati ya tajiri na maskini

ubaya zaidi umaskini hua unaingia mpaka kwenye dam, hivo watoto huendelea na generation hio hio! wewe ndo mfano mzuri wa umaskini uliorithishwa
Mmepora mali za watanzania na kuwafanya masikini na bado mnawanyanyapaa,ivi nyinyi mnazo kweli???
 
Kabla kuelezea tafauti zao, vitu ambavyo wanafanana ni kila mmoja anapenda kukaa kwenye rika lake,mfano matajiri hupenda kujitenga na matajiri wenzao likewise maskini

Lakini tafauti kubwa ni
Kichwa cha tajiri: Kwann yule mzee amesogea sana kuliko mm, lazima niongeze miradi nataka kua 1

kichwa cha maskini: kodi zetu zile, alikuta mali kwenye familia, tuchome kila kitu tuanze upya wote,
yule hana pesa anaringa na mirathi, najuana nae yule hua anakujjaga apa kabisa na namba yake nnayo,
una namba yoyote ya jini kutoka chalinze
Pole sana.

Who are YOU?
 
Maisha sio black or white (there are a lot of grey areas) na Matajiri wa sasa (Wealth Accumulators / Walambaji / Madalali / Wala kwa urefu wa Kamba zao) wanachojua ni wapi nipige dili niondoke na 10% (hawa ndio wanawapa matajiri wengine ambao ni hard working a bad name)

ubaya zaidi umaskini hua unaingia mpaka kwenye dam, hivo watoto huendelea na generation hio hio! wewe ndo mfano mzuri wa umaskini uliorithishwa
Kwa hiyo mmeambiwa mkianza kuita watu masikini ndo wataacha kupinga ufisadi? CCM mna IQ ndogo sana
 
Maisha sio black or white (there are a lot of grey areas) na Matajiri wa sasa (Wealth Accumulators / Walambaji / Madalali / Wala kwa urefu wa Kamba zao) wanachojua ni wapi nipige dili niondoke na 10% (hawa ndio wanawapa matajiri wengine ambao ni hard working a bad name)

kuna tajiri kaja kukuibia hela?
 
kuna tajiri kaja kukuibia hela?
Hawa walamba asali ambao wanakusanya matozo bila kuleta value for money na kukopa left, right and center ili mpaka vitukuu wawe na madeni mpaka kwenye kope bila value for money kama sio majambazi ni nini ? Na ofcourse ingawa ni masikini wa fikra lakini wamejilimbikizia mimali hadi kusababisha hasira kitaa...

unajua deni la marekani ni kiasi gan
 
unajua deni la marekani ni kiasi gan
Kwenye hii mada ngoja nikupe mada mbili ambazo nilishatoa sababu mengi nikisema takuwa najirudia kama Santuri mbovu....

Back
Top Bottom