Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Hadi sasa mbege inaongoza 3-0-UTAFITI UNAPINGWA NA UTAFITI--
Utafiti mpya uliofanyika nchini Tanzania na kuchapishwa na jarida kubwa la Nature Medicine la nchini Uingereza, umebaini kuwa lishe ya asili ya Kiafrika ina faida kubwa kwa afya ya binadamu ikilinganishwa na lishe ya Kimagharibi.
Utafiti huo uliofanywa na watafiti wa Chuo Kikuu cha KCMC na Taasisi ya Utafiti ya KCRI nchini ulihusisha wanaume 77 wenye afya njema kutoka maeneo ya mijini na vijijini. Washiriki waligawanywa katika makundi ambapo baadhi walibadili lishe yao kutoka ya Kiafrika kwenda ya Kimagharibi, wengine walibadili kutoka ya Kimagharibi kwenda ya Kiafrika, na kundi lingine lilikuwa likinywa kinywaji cha jadi cha ndizi kilichochachushwa kiitwacho mbege.
Matokeo ya utafiti yameonesha kuwa wale waliobadili lishe kwenda ya Kimagharibi walionesha kuongezeka kwa protini za uvimbe kwenye damu, kushuka kwa uwezo wa kinga ya mwili na kuanza kwa dalili za magonjwa kama kisukari na magonjwa ya moyo. Kinyume chake, waliorejea kwenye lishe ya Kiafrika au waliotumia mbege walionyesha kupungua kwa viashiria vya uvimbe, na hali yao ya kinga ya mwili kuboreka.View attachment 3294101
Mbege haina mpinzaniHadi sasa mbege inaongoza 3-0
Sio kweli mbege imetujenga toka kale bwasheemataputapu ayo amweba tupu
walevi wa mbege ndio wanapigwa na wake zao huko kibosho mekuSio kweli mbege imetujenga toka kale bwashee
Mbona sasa kuna watu wanainywa mchana na jioni hawaugui?mataputapu ayo amweba tupu
Ile mbege ni gongo mkuu, marangu kidogo , machame ni soda sio mbege ,mbege nenda kibosho bwashee.Mbege iheshimiwe wazee!
Kuna ile ya kule useri unakuta ni dadii original imechanganywa kwa mbali na ile wine nyekundu ya ndizi šš
Kwenye kitochi inakua na kilemba cha njano alooh
Hao ni gongo ,mbege inaheshimika ,moshi , kama haunywi hii kitu unaonekana hata akili ya kusaka pesa hauna šwalevi wa bege ndio wanapigwa na wake zao huko kibosho meku
Sio kweli sababu najua uandaaji wake hadi inakamilika..Ile mbege ni gongo mkuu, marangu kidogo , machame ni soda sio mbege ,mbege nenda kibosho bwashee.
Hii imenikumbusha kikombe kile cha babu enzi hizo wakinywa hawa jamaa kutuhakikishia kuwa ni dawa ya kila kitu!Safi sana mbege ni pombe bora kabisa ya kienyeji duniani na sio Tanzania pekeeView attachment 3294107
Mbege ndio dawa mkuu karibuHii imenikumbusha kikombe kile cha babu enzi hizo wakinywa hawa jamaa kutuhakikishia kuwa ni dawa ya kila kitu!
ni macarrierMbona sasa kuna watu wanainywa mchana na jioni hawaugui?
Pia mbege ya mashati ni nzuri mno ,nilisahaušSio kweli sababu najua uandaaji wake hadi inakamilika..
Wanaochanganya gongo au hizi pombe kali nyingine ni wateja wenyewe.... Yani mteja anaweza kuja na konyagi yake akaagiza mbege alafu akachanganya
Mbege unashindia hata miezi na afya haitetereki bila chakula kingine .Walitumia lishe ya kiafrika, sio mbege peke yake.
Wewe shindia mbege uone.
Mimi ninachoona mbege zote kule uchagani ni nzuri ukutane tu na anaejua kuitengeneza... Nikienda nyumbani wananishangaa namnunulia mtu bia alafu mimi nakunywa mbege ambayo inauzwa Tsh 5oo kwa litaPia mbege ya mashati ni nzuri mno ,nilisahauš