min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Kaka usichokijua mbege inaongeza umri wa kuishi kama unainywa tu peke yake bila Ma bia na pombe nyingneni macarrier
Kaka usichokijua mbege inaongeza umri wa kuishi kama unainywa tu peke yake bila Ma bia na pombe nyingneni macarrier
Ukishindia konyagi au bia siku 2 bila kula unaweza ukafa vibaya 😂Mbege unashindia hata miezi na afya haitetereki bila chakula kingine .
Kwangu mimi kuna mbege zinanishinda asee ,kuna siku pale useri nilikunywa mbege nikachanganyiwa na dadii ikabidi nilale mashati kwenye ile hotel yani nililewa kama siku 3Mimi ninachoona mbege zote kule uchagani ni nzuri ukutane tu na anaejua kuitengeneza... Nikienda nyumbani wananishangaa namnunulia mtu bia alafu mimi nakunywa mbege ambayo inauzwa Tsh 5oo kwa lita
Huyu jamaa alieleta huu uzi ana akili kubwa mno ,mbege inatakiwa iwe pombe ya utamaduni wa kitanzania, ngoja nimfollow kabisa.Ukishindia konyagi au bia siku 2 bila kula unaweza ukafa vibaya 😂
Wahuni walikuchanganyia 😂😂. Mbege ya kule ukiinywa asubuh hadi saa saba nguvu yake ni ndogo sana unaweza kunywa lita kadhaa... Ikishafika jioni nguvu yake huongezeka mara dufu lakini kwa wale makonki wa pombe bado wanaweza kunywa nyingiKwangu mimi kuna mbege zinanishinda asee ,kuna siku pale useri nilikunywa mbege nikachanganyiwa na dadii ikabidi nilale mashati kwenye ile hotel yani nililewa kama siku 3
walevi bana kwa kupeana matumainiKaka usichokijua mbege inaongeza umri wa kuishi kama unainywa tu peke yake bila Ma bia na pombe nyingne
Wanadai wamaweka mukuta 😁 napenda mbege ya mseseweWahuni walikuchanganyia 😂😂. Mbege ya kule ukiinywa asubuh hadi saa saba nguvu yake ni ndogo sana unaweza kunywa lita kadhaa... Ikishafika jioni nguvu yake huongezeka mara dufu lakini kwa wale makonki wa pombe bado wanaweza kunywa nyingi
Mpaka muda huu mbege ipo karibia nchi nzima sema mbege za huku mjini sizielewagi japo watu wanazipiga kawaidaHuyu jamaa alieleta huu uzi ana akili kubwa mno ,mbege inatakiwa iwe pombe ya utamaduni wa kitanzania, ngoja nimfollow kabisa.
Kibosho ipi mangi 😄mwenyewe mkibosho ,Kibosho yetu wazee ambao hawatembelei tako nyani ni wachache mno bwashee😁😁walevi bana kwa kupeana matumaini
hiyo mbege sio kitu cha kushindia meku zamani wazee huko vijijini waliwatesa sana wake zao kwa kuwachumisha kahawa hadi vidole vinakakamaa,wakipata pesa USHIRIKA wanakimbilia kwenye mambege sasa hawana nguvu wanachezea kipigo haswa nenda huko kibosho ujione vituko mkuu na unambiwa sio huko tuh bali vijiji vingi wake ndio wamekua vichwa wazee kwenye mbege wakirudi nyumbani kichapo
Jana nimeigonga sana Pale Marangu Rauya-UTAFITI UNAPINGWA NA UTAFITI--
Utafiti mpya uliofanyika nchini Tanzania na kuchapishwa na jarida kubwa la Nature Medicine la nchini Uingereza, umebaini kuwa lishe ya asili ya Kiafrika ina faida kubwa kwa afya ya binadamu ikilinganishwa na lishe ya Kimagharibi.
Utafiti huo uliofanywa na watafiti wa Chuo Kikuu cha KCMC na Taasisi ya Utafiti ya KCRI nchini ulihusisha wanaume 77 wenye afya njema kutoka maeneo ya mijini na vijijini. Washiriki waligawanywa katika makundi ambapo baadhi walibadili lishe yao kutoka ya Kiafrika kwenda ya Kimagharibi, wengine walibadili kutoka ya Kimagharibi kwenda ya Kiafrika, na kundi lingine lilikuwa likinywa kinywaji cha jadi cha ndizi kilichochachushwa kiitwacho mbege.
Matokeo ya utafiti yameonesha kuwa wale waliobadili lishe kwenda ya Kimagharibi walionesha kuongezeka kwa protini za uvimbe kwenye damu, kushuka kwa uwezo wa kinga ya mwili na kuanza kwa dalili za magonjwa kama kisukari na magonjwa ya moyo. Kinyume chake, waliorejea kwenye lishe ya Kiafrika au waliotumia mbege walionyesha kupungua kwa viashiria vya uvimbe, na hali yao ya kinga ya mwili kuboreka.
Source: Swahili times
View attachment 3294101
Ya msesewe/mseseve ukinywa nyingi kesho yake utaamka kichwa kinagonga kama vile ulichanganya bia tofautitofauti 😄Wanadai wamaweka mukuta 😁 napenda mbege ya msesewe
Tuanze ku-export kwenda nchi za magharibi.Safi sana mbege ni pombe bora kabisa ya kienyeji duniani na sio Tanzania pekee
Hii kitu hadi ngozi hizi wanapagawa wakionja 😄Tuanze ku-export kwenda nchi za magharibi.
Inatakiwa iwe nembo ya taifa kama kinywaji cha asili.Mbege ni kinywaji pekee cha asili kinachopatikana Tanzania nzima
Hii sio kweli sababu zamani mbege ilikua kama bure tu alafu kila jumapili kulikua na sherehe ya mbege na nyama kwa siku 2-3walevi bana kwa kupeana matumaini
hiyo mbege sio kitu cha kushindia meku zamani wazee huko vijijini waliwatesa sana wake zao kwa kuwachumisha kahawa hadi vidole vinakakamaa,wakipata pesa USHIRIKA wanakimbilia kwenye mambege sasa hawana nguvu wanachezea kipigo haswa nenda huko kibosho ujione vituko mkuu na unambiwa sio huko tuh bali vijiji vingi wake ndio wamekua vichwa wazee kwenye mbege wakirudi nyumbani kichapo
Iwekwe ulezi mwingi wakati inapikwa na sio ile ya kuongezeaYa msesewe/mseseve ukinywa nyingi kesho yake utaamka kichwa kinagonga kama vile ulichanganya bia tofautitofauti 😄
Unasababisha nakumbuka newmbaniIwekwe ulezi mwingi wakati inapikwa na sio ile ya kuongezea
Yani vibe la nyumbani ni la kipekee ,kula mbege choma nyama na kucheza mziki😄 ,hapo bado hatuchafua meza na bia 😁Unasababisha nakumbuka newmbani
Naisoma tafiti hapaMbege unashindia hata miezi na afya haitetereki bila chakula kingine .
Wakirudi kwao wakasimulie radha adhimu ya mbege kutoka uchagani.Hii kitu hadi ngozi hizi wanapagawa wakionja 😄
View attachment 3294142