Tafiti mpya yabainisha ubora wa kinywaji kijulikanacho kama mbege!

Kinachoharibu vijana kule sio mbege bali ni hizi pombe za viwandani... Vijana kule wanakunywa mbege nyingi wakiona hawalewi wanasema ngoja wakapige kali ili kichwa kiwake
Kabisa mkuu ,kuna pombe za kishenzi sana zaidi ya 100 ambazo hata Tanzania hazipo
 
Ila hii mpaka wazee wachungulie ukoo wake kwanza 😄
Wazee walikuwa wanakupa ramani au wakiona umekua mjanja kuliko wao wanafuatilia nyendo zako ili wajue mtoto wao ananyemelea boma lipi, wakishajua wanaangalia kama boma ni salama basi wanakuacha. Wakiona umeenda kuwinda kwenye familia mbovu wanakuja kukukanya huku wakikuonesha familia kadhaa ambazo unaweza kwenda kujichagulia mke... Zamani ilikua raha sana
 
Kabisa mkuu sasa hivi wanajiokotea tu ndio maana tunapata wachaga tolea la tano😁
 
uchagani miaka ya 70 watoto lishe ilikua duni sana..walikua wana walisha hiyo mbege kabla haijachachuka kuna product inanza kisha badae ndio huwa mbege nimeisahau jina
Sio kweli labda uchagani ya sasa ndio lishe inaweza kuwa duni ,utamaduni wa kuwanyweshwa watoto mbege hiyo ni kawaida ,binti yangu alipo fikisha miaka miwili nilimpeleka kwa bibi yake na bibi kokoo akaria mbege kidogo😁
 
Mjini hasa dar naskia flavour ya mbege inauzwa kwahiyo hawawaweki ndizi ni ulezi na flavour tuu, inakua kama uji😖😖😖
Hii ndio shida kitu kikishakua dili lazima kichakachuliwe
 
Mimi yenyewe nilishindwa kwenda na mfumo nikaenda kuoa Kanda ya ziwa 🏃🏃🏃
Mwanangu mmoja mama yake mnyambo ,mwingine mzulu ,ila wamekulia kwa bibi ,tena kwetu ni karibu na msitu ,mwisho wa makazi hata kiswahili ni cha shida 😄😄
 
Kwa sasa hamna haja ya kuchaguliwa, ukipata mzungu fresh, mhadzabe fresh, mkisii au hata mmeru.... Zamani kulikuwa na mazuri yake na sasa kuchanganyikana ni vizuri ili mwisho tuitwe kwa jina moja
 
Kabisa bro ila legacy yetu tuilinde kwa wivu mkubwa mno.
 
walevi wa mbege ndio wanapigwa na wake zao huko kibosho meku
Hapana, kilichowadhoofisha watu ni visungura na Doble kick, by nature wachaga walikuwa wanakunywa mbege Huku wakiendelea na kazi zao za kilimo, kosa ni kuingia kwa Doble kick na visungura, wameshindwa kufahamu kwamba, double kick ni spirit na mbege ni nafaka safi....
 
Mbege iheshimiwe wazee!

Kuna ile ya kule useri unakuta ni dadii original imechanganywa kwa mbali na ile wine nyekundu ya ndizi 😍😍
Kwenye kitochi inakua na kilemba cha njano alooh
Unatokea usseri wapi meku, lesoroma, kitirima, kirongo, au wapi

Kwa mtu anaezingatia chakula vizuri kala akashiba hasa mchana na usiku basi mbege ni kinywaji Bora sana Tena sana kwa afya
 
Ngoja niseme kitu,

Mbege ni product au kinywaji kitokanacho na zao kuu la ndizi, ikichanganywa na ulezi na unga wa mseseve/we kupunguza ukali wa sukarii ya ndizi na ulezi....

Ndizi ni ndizi ambazo zimeiva vzr hutumika kuandaa mbege,

Vifaa vya kuchemshia na ndoo kuwekea zinabidi ziwe safi haitakiwi ipate mchanganyiko wa kitu kama sabuni, magadi, chumvi au mfanano wa vitu hivyo huharibu mbege Jumla.

Mbege itachemshwa na kutiwa maji safi hasa ukizingatia kule maji ni ya asili ambayo hayana chumvi au magadi au maji yaliyovunwa ya mvua,

Ikichemshwa itaiva kabisa na kuepuliwa kwetu tulikuwa tukichemsha jumanne basi alhamisi tutaikamua kwa mfuko safi, usiwe contaminated na vitu km sabuni, chumvi, magadi na mfanano wa vitu hivyo,

Tukishaikamua inatiwa kwenye pipa, au dramu, ndoo safi theni unatia unga wa ulezi kulingana na ujazo wa pipa linachukua ndoo ngapi ikiwa utatumia ndoo kujaZa kwenye pipa,

Then ijumaa yake itasongwa au kupika ule unga wa ulezi uive fresh wata ongezea siku ya kunywa ile jumamosi au jumapili, lkn ya kupika ulezi sio lzm sana ni baadhi ya watu wanafanya hayo....

Kuna hii inapikwa ya unga wa mahindi nadhani maeneo mengi inapikwa sio Moshi pekee....

Ambapo wengine wanakanda unga wa mahindi na maji safi na ukiwa tyr unahifadhi kwenye vyombo safi, nimesahau muda

Lkn ukianza kuonyesha kubadilika hivi, wanaukwangua layer ya juu vzr, then kilichopo ndani wanaeka kwenye kifaa flani kwa ajili ya kuipika kiaina ambapo itapikwa fresh mpk iive,

Utaepua na ikipoa utaeka kwenye pipa au chombo kingine then unaeka maji unaicha, utaongezea ulezi, utakamua inakuwa tyr kwa kunywa inachukua siku moja plus masaa kwa kutumika toka kupikwa

Ambapo wengine wata mix na mbege sasa au kunywa yenyewe bila mbege au mbege pekee,

Mbege inakuwa afya hasa ukizingatia kula chakula ndipo unywe mbege, chakula ni muhimu kwenye mwili wa binadamu hata unywe soda kama huli ni tatizo,

Ukipata msosi wako vzr, ndizi, makande, kitawa, machalari au ugali ukinywa mbege Haina tatizo,

Tatizo ni baadhi ya watu kunywa bia, spirits mwingine wine, ana mix hiyo ni changamoto

So far mbege bado ni kinywaji Bora kwangu nakuheshimu sana.... Imewatoa watu wengi kwenda shule, kupata bills za kutimiza kwenye maisha ya kila siku, wengine mtaji inategemea na ukubwa wa biashara yako,
 
Palepale sokoni kwa chini kidogo
 
Wataalamu watusaidie kuisindika ili idumu na iuzwe kote, bila kuharibika.
 
Back
Top Bottom