Tafiti ndogo ya ligi ya magari 2020 Desemba kwenda kaskazini ni kama hii

Nahisi mpaka leo hukumuona alipopotelea mpaka leo nahisi alikuachia fedhea

Kwan we ulikuwa na gari ya aina gani mkuu
 
Kwa hiyo umeshaamini hiyo nadharia kama inakaukweli flan hiv ndani yake
 
Ila mkuu mbona matako ya nyani yanapaa sana wewe imekuaje ukapelekeshwa hivyo. Naijua vyema kitu inatembeaaa. Nadhani shida ni dereva na si gari. Bado una uoga either wa kutembea sana kwa speed ama unaogopa cheti
Tulikuwa tunatembea mwendo wa mbunge 80,100,120 mwisho kiafsa zaidi lkn tulizalilika na tako letu la nyani
 
Nahisi mpaka leo hukumuona alipopotelea mpaka leo nahisi alikuachia fedhea

Kwan we ulikuwa na gari ya aina gani mkuu
Shida ya kukeep up nae
Kwa magari yetu niliobserve ni speed ya gear za juu japo mm natumia auto sasa sijui yeye
Ila kuna muda tulipanda bump moja hv nipo nyuma yake
Mwanzoni nilikua kama nataka kumkarbia hv nahs awd ilichangia ila kwanzia 60kmh kupanda anakuacha vibaya sana yani ni kama umesimama
Nilienjoy mm mtazamaji wa nje
Sasa sijui mwenye gari anajiskiaje maana ni kama linavutwa
Unabaki helpless tu unaiona inakuacha
 
Inaleta hasira Sana sisi tulikuwa tunapitwa kama tumesimama vile nilifura kwa hasira baada ya kuona crown Athletes alivyotupita kama upepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…