Tafiti ndogo ya ligi ya magari 2020 Desemba kwenda kaskazini ni kama hii

Na mimi ni dereva sio learner hio Fortuner haina mwendo wa kuisumbua Subaru labda ile imprezza non turbo ya cc1500. Hizo Fortuner,Prado za diesel huwa nazitandika nitakavyo na gari ya cc2000 tu, Kwanza haziko stable(unaweza usinielewe)
Namiliki subaru mwaka wa sita sasa,ni gari nzuri sana kwa mwendo na stability barabarani. Pia inachanganya haraka. Hao wanao idharau hawaijuiii. Nilinunua X5 miaka miwili iliyopita,yes it is very comfortable and stable lakini Subaru inabaki kuwa gari yangu pendwa
 
Discovery 2.7l tdv6 haina mbio ila ina mapumziko mazuri ukiwa safarini na ni economy,ile disco yenye 4.4l v8 ndio ina mwendo sana.
 
Ulichukua diesel au petrol mkuu?
 
Mlikuwa mnaenda kwa miguu nini maana kila gari limewapita.
 

Mkuu hiyo ni subaru aina gani?
 
Kuna kipande hapo hedaru jamaa anapiga 230 hadi 240 zaidi ya dk kumi na honda crv ya 260
 
Kuna hizi imprezza non turbo cc1500 zimeingia nyingi sana ndio wengi wanajipima na hizo.
 
Na mimi ni dereva sio learner hio Fortuner haina mwendo wa kuisumbua Subaru labda ile imprezza non turbo ya cc1500. Hizo Fortuner,Prado za diesel huwa nazitandika nitakavyo na gari ya cc2000 tu, Kwanza haziko stable(unaweza usinielewe)
Fortuner ipo juu sana kutokuwa stable ni kawaida.
 
Woga wenu msiidhalilishe Subaru. Labda ile imprezza non turbo ya cc1500. Lakini Subaru proper haiwezi kusumbuliwa na pick up iliozibwa nyuma. Yes Fortuner ni Hilux iliozibwa nyuma.
Duuuuh sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…