Tafiti zinaonesha vijana wengi wa Africa hawajitambui

Philosophical doctrine. Thanks
 
Acha uto dogo ... Mwisho wa siku utakuja kulalamika hapa vijana wa bongo wamekuvujishia vitu vyeupe huko kuzimu...... 2449137
Ww ni mfano wa kijana asiyejitambua akilini mwako umesave ujinga tu.
 
Kweli! Wanaojitambua kwa sasa wapo Kenya tu
 
Nadhani ni ukweli mchungu kwa vijana wa Tanzania...
  • CCM inaivuruga nchi itakavyo, wapo!
  • Wamekuwa vijana wa Kinondoni, wapo!
  • Uchawa, Umario, Upunda ndo mishe zao.
Mkuu unavyo sema upunda ndo mishe zao una mainisha Nini mishe Gani hizo za upunda😬
 
Nachukia Sana kuishi Tanzania bas tu
I had a chance to live in europe. And die old there ila nikatanguliza utoto
 
Hapo nchi jirani kuna vita vinavyosababishwa na kutojitambua, kutumika, kujidharau na nk halafu kijana hapo nchi jirani anashangilia. Hiyo ni dalili ya kutojitambua
 
Vijana wanasubiri rushwa ya Tsh. 15,000 na Tshirt kuipigia kura CCM. Kisha wanaimba mi5 tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…