Tafiti zinaonyesha 80% ya Wahalifu ikiwemo Wajambazi, wabakaji, wauaji, mashoga wamelelewa na Single Mothers yaani Fatherless

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
TAFITI ZINAONYESHA 80% YA WAHALIFU DUNIANI IKIWEMO MAJAMBAZI, WABAKAJI, WAUAJI, MASHOGA WAMELELEWA NA SINGLE MOTHERS YAANI FATHERLESS

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Andiko hili halipo kwaajili ya kuwakandia single mothers bali lipo kwaajili ya kuonyesha matatizo ya u-single mother ambayo yanatokea kwenye jamii yetu ili tujue nini chakufanya.
Yeyote atakayechukulia kwa mtazamo hasi ihesabike kama kushindwa kwake kuelewa.

Tafiti mbalimbali duniani pamoja na uchunguzi wangu vinaonyesha kuwa Asilimia zaidi ya 80% ya Wahalifu Wanatokea katika familia ambayo hakuna Baba(FATHERLESS) na wengi Wamelelewa na Mama pekee (Single mothers).

In 1996, 70% of inmates in state juvenile detention centers serving long sentences were raised by single mothers.7

The absence of the father increases the daughters’ vulnerability to exploitation by those outside the family. Girls from homes without fathers are 6 times more likely to become pregnant as teenagers.9

Tafiti zingine zimetoa majibu haya
  • 63% ya vijana wanaojiua Wamelelewa na Mama pekee
  • 90% ya Chokoraa(homeless) na wazururaji wametoka kwenye familia zisizokuwa na Baba
  • 85% ya watoto wote wenye behavior disorders wametoka kutoka fatherless homes.
  • 80% ya Wabakaji wametoka kwenye familia zisizokuwa na Baba na Wamelelewa na single mothers
  • 71% ya walioacha shule au kuishia njiani Wamelelewa na single mothers
  • 75% ya walioko sobber wenye wanaotumia Madawa ya kulevya Wamelelewa na single mothers .
  • 85% ya vijana walioko jela au mahabusu wametoka familia zisizokuwa na Baba.
  • 75% ya mabinti
Tafiti zinaonyesha pia Mabinti wengi waliolelewa na Single mothers wanapata mimba kabla ya kuolewa na hiyo kuongeza zaidi single mothers.

Tafiti zinaonyesha kuwa makahaba wanaojiuza kwenye madanguro na wengine kujiuza barabarani Wanatokea familia zisizokuwa na Baba.

Tafiti hizi na zingine nyingi zinatupa picha kuwa malezi ya watoto na jamii hayawezi kuwa na tija kama familia hazitakuwa na Baba na Mama.

Imethibitika pasi na shaka kuwa Mwanamke licha ya umuhimu wake kwenye dunia lakini kwa sehemu kubwa Pekeake hawezi kuwafanya watoto wawe na maadili.

Hata hivyo sababu kubwa iliyotajwa ni suala la umaskini kwa wanawake waliowengi ambao baada ya talaka au mume kufariki au kutiwa mimba pasipo kuolewa inapelekea wao kushindwa mahitaji ya kifamilia kwa watoto.

Aisha, Sababu nyingine tajwa ni kuwa Mwanamke hata awe na uwezo wa kiuchumi wengi wao Bado asili ya huruma na upendo uliopitiliza kwa watoto hupelekea kushindwa kuwalea vizuri na hiyo kusababisha watoto kutokuwa na maadili.

Nafahamu wapo watu waliolelewa na Mama pekee na wenye maadili lakini watu hao kwenye hii dunia ni wachache sana. Uwepo wa wachache hao haiondoi ukweli kuwa watoto kulelewa na Mama pekee humweka katika hatari ya kuingia katika uhalifu na uovu.

Wito, ni vizuri kama mtu anampango wa kuleta kiumbe duniani ahakikishe anafuata njia sahihi ya kuwa na familia ya Mune na Mke. Tena Mume na Mke sahihi.

Acha nipumzike Sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
 
Tatizo mbususu tamu jamani alafu haya mambo ya kuwekeana umri wa kuolewa mwanamke ndio yanaleta problems zote hizo.
Ili takiwa watu tunamia 17 uvuta bby wakonaanza maksha ya husband and wife
 
Naona umesema majambazi hivi na wale wanatunga sheria ya faini ya 15 milioni kwa mtaji wa laki sita nao wapo kundi gani?

Hao ni asilimia ngapi kwenye idadi ya watized?
Ndio maana ya 80%
Inamaanisha wapo 20% ambao Wamelèlewa na Single Mothers na wana maadili
 
TAFITI ZINAONYESHA 80% YA WAHALIFU DUNIANI IKIWEMO MAJAMBAZI, WABAKAJI, WAUAJI, MASHOGA WAMELELEWA NA SINGLE MOTHERS YAANI FATHERLESS

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Andiko hili halipo kwaajili ya kuwakandia single mothers bali lipo kwaajili ya kuonyesha matatizo ya u-single mother ambayo yanatokea kwenye jamii yetu ili tujue nini chakufanya.
Yeyote atakayechukulia kwa mtazamo hasi ihesabike kama kushindwa kwake kuelewa.

Tafiti mbalimbali duniani pamoja na uchunguzi wangu vinaonyesha kuwa Asilimia zaidi ya 80% ya Wahalifu Wanatokea katika familia ambayo hakuna Baba(FATHERLESS) na wengi Wamelelewa na Mama pekee (Single mothers).

In 1996, 70% of inmates in state juvenile detention centers serving long sentences were raised by single mothers.7

The absence of the father increases the daughters’ vulnerability to exploitation by those outside the family. Girls from homes without fathers are 6 times more likely to become pregnant as teenagers.9

Tafiti zingine zimetoa majibu haya
  • 63% ya vijana wanaojiua Wamelelewa na Mama pekee
  • 90% ya Chokoraa(homeless) na wazururaji wametoka kwenye familia zisizokuwa na Baba
  • 85% ya watoto wote wenye behavior disorders wametoka kutoka fatherless homes.
  • 80% ya Wabakaji wametoka kwenye familia zisizokuwa na Baba na Wamelelewa na single mothers
  • 71% ya walioacha shule au kuishia njiani Wamelelewa na single mothers
  • 75% ya walioko sobber wenye wanaotumia Madawa ya kulevya Wamelelewa na single mothers .
  • 85% ya vijana walioko jela au mahabusu wametoka familia zisizokuwa na Baba.
  • 75% ya mabinti
Tafiti zinaonyesha pia Mabinti wengi waliolelewa na Single mothers wanapata mimba kabla ya kuolewa na hiyo kuongeza zaidi single mothers.

Tafiti zinaonyesha kuwa makahaba wanaojiuza kwenye madanguro na wengine kujiuza barabarani Wanatokea familia zisizokuwa na Baba.

Tafiti hizi na zingine nyingi zinatupa picha kuwa malezi ya watoto na jamii hayawezi kuwa na tija kama familia hazitakuwa na Baba na Mama.

Imethibitika pasi na shaka kuwa Mwanamke licha ya umuhimu wake kwenye dunia lakini kwa sehemu kubwa Pekeake hawezi kuwafanya watoto wawe na maadili.

Hata hivyo sababu kubwa iliyotajwa ni suala la umaskini kwa wanawake waliowengi ambao baada ya talaka au mume kufariki au kutiwa mimba pasipo kuolewa inapelekea wao kushindwa mahitaji ya kifamilia kwa watoto.

Aisha, Sababu nyingine tajwa ni kuwa Mwanamke hata awe na uwezo wa kiuchumi wengi wao Bado asili ya huruma na upendo uliopitiliza kwa watoto hupelekea kushindwa kuwalea vizuri na hiyo kusababisha watoto kutokuwa na maadili.

Nafahamu wapo watu waliolelewa na Mama pekee na wenye maadili lakini watu hao kwenye hii dunia ni wachache sana. Uwepo wa wachache hao haiondoi ukweli kuwa watoto kulelewa na Mama pekee humweka katika hatari ya kuingia katika uhalifu na uovu.

Wito, ni vizuri kama mtu anampango wa kuleta kiumbe duniani ahakikishe anafuata njia sahihi ya kuwa na familia ya Mune na Mke. Tena Mume na Mke sahihi.

Acha nipumzike Sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Hawana malezi ya baba ambae ndio mchora ramani na muweka discipline lazima wataishia kuwa majambazi,matapeli nk Kwa sababu wanawake hawajui kufundisha Watoto kujitegemea sana sana kuwadekeza Sasa Dunia Haina mdekwso Kwa mwanaume.

Kwa Watoto wa kike wanaishia kuwa Malaya na anafanya umalaya huku anaishi na mama yake hapo ndio ujue umuhimu wa baba.

Mwisho mwanaume ndio anatengeneza boma,Mali na anamuandaa mtoto kuwa Mke/mume Kwa kuangalia jinsi baba ana mtreat mama Yao na response Sasa kinyume na hapo mwanamke hawezi yote hayo.
 
Hawana malezi ya baba ambae ndio mchora ramani na muweka discipline lazima wataishia kuwa majambazi,matapeli nk Kwa sababu wanawake hawajui kufundisha Watoto kujitegemea sana sana kuwadekeza Sasa Dunia Haina mdekwso Kwa mwanaume.

Kwa Watoto wa kike wanaishia kuwa Malaya na anafanya umalaya huku anaishi na mama yake hapo ndio ujue umuhimu wa baba.

Ni kweli kabisa Mkuu
 
TAFITI ZINAONYESHA 80% YA WAHALIFU DUNIANI IKIWEMO MAJAMBAZI, WABAKAJI, WAUAJI, MASHOGA WAMELELEWA NA SINGLE MOTHERS YAANI FATHERLESS

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Andiko hili halipo kwaajili ya kuwakandia single mothers bali lipo kwaajili ya kuonyesha matatizo ya u-single mother ambayo yanatokea kwenye jamii yetu ili tujue nini chakufanya.
Yeyote atakayechukulia kwa mtazamo hasi ihesabike kama kushindwa kwake kuelewa.

Tafiti mbalimbali duniani pamoja na uchunguzi wangu vinaonyesha kuwa Asilimia zaidi ya 80% ya Wahalifu Wanatokea katika familia ambayo hakuna Baba(FATHERLESS) na wengi Wamelelewa na Mama pekee (Single mothers).

In 1996, 70% of inmates in state juvenile detention centers serving long sentences were raised by single mothers.7

The absence of the father increases the daughters’ vulnerability to exploitation by those outside the family. Girls from homes without fathers are 6 times more likely to become pregnant as teenagers.9

Tafiti zingine zimetoa majibu haya
  • 63% ya vijana wanaojiua Wamelelewa na Mama pekee
  • 90% ya Chokoraa(homeless) na wazururaji wametoka kwenye familia zisizokuwa na Baba
  • 85% ya watoto wote wenye behavior disorders wametoka kutoka fatherless homes.
  • 80% ya Wabakaji wametoka kwenye familia zisizokuwa na Baba na Wamelelewa na single mothers
  • 71% ya walioacha shule au kuishia njiani Wamelelewa na single mothers
  • 75% ya walioko sobber wenye wanaotumia Madawa ya kulevya Wamelelewa na single mothers .
  • 85% ya vijana walioko jela au mahabusu wametoka familia zisizokuwa na Baba.
  • 75% ya mabinti
Tafiti zinaonyesha pia Mabinti wengi waliolelewa na Single mothers wanapata mimba kabla ya kuolewa na hiyo kuongeza zaidi single mothers.

Tafiti zinaonyesha kuwa makahaba wanaojiuza kwenye madanguro na wengine kujiuza barabarani Wanatokea familia zisizokuwa na Baba.

Tafiti hizi na zingine nyingi zinatupa picha kuwa malezi ya watoto na jamii hayawezi kuwa na tija kama familia hazitakuwa na Baba na Mama.

Imethibitika pasi na shaka kuwa Mwanamke licha ya umuhimu wake kwenye dunia lakini kwa sehemu kubwa Pekeake hawezi kuwafanya watoto wawe na maadili.

Hata hivyo sababu kubwa iliyotajwa ni suala la umaskini kwa wanawake waliowengi ambao baada ya talaka au mume kufariki au kutiwa mimba pasipo kuolewa inapelekea wao kushindwa mahitaji ya kifamilia kwa watoto.

Aisha, Sababu nyingine tajwa ni kuwa Mwanamke hata awe na uwezo wa kiuchumi wengi wao Bado asili ya huruma na upendo uliopitiliza kwa watoto hupelekea kushindwa kuwalea vizuri na hiyo kusababisha watoto kutokuwa na maadili.

Nafahamu wapo watu waliolelewa na Mama pekee na wenye maadili lakini watu hao kwenye hii dunia ni wachache sana. Uwepo wa wachache hao haiondoi ukweli kuwa watoto kulelewa na Mama pekee humweka katika hatari ya kuingia katika uhalifu na uovu.

Wito, ni vizuri kama mtu anampango wa kuleta kiumbe duniani ahakikishe anafuata njia sahihi ya kuwa na familia ya Mune na Mke. Tena Mume na Mke sahihi.

Acha nipumzike Sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Tafiti zako za mchongo,,,,no fact, hizo ni tuhuma
 
Wanasababisha yote haya ni wanaume. Sababu wanawatelekeza wanawake na mimba zao, ama wanatekeleza watoto pindi wanapoachana na wanawake. Mwanaume akioa pengine, anawajali.watoto wa kule kuliko huyu aliempata kabla ama aliemzaa nje kitu hicho husababisha msingi wa mawazo kwa mtoto na kujikuta anajiinhiza kwenye makundi ya uhalifu
 
Ishu imeanzia kwenye familia
Ushaambiwa watoto walioelelewa na Single Mothers Kwa aina zake iwe ni Mjane au aliyetakiwa ndio wapo kwenye risk ya kuingia katika uhalifu.

Wapo single Mothers wanakipato cha kuwatosha na kulea watoto na bado watoto wanakosa maadili
 
Hao ni asilimia ngapi kwenye idadi ya watized?
Ndio maana ya 80%
Inamaanisha wapo 20% ambao Wamelèlewa na Single Mothers na wana maadili
Let see how math can do.
80% ya hao inmates wamelelewa na single mothers, hii maana yake 20% ya inmates hawajalelewa na single mothers.

Kuhusu watu wenye maadili waliolelewa na single mothers inaweza kuwa chini ya iyo 20% pia haijulikani kama wapo inaweza kuwa hawapo sababu inaweza kuwa wote ndo hao 80% ya inmates.

Utafiti mwingine ufanyike kuhusu good boys and nice girls raised by single mothers. wanaweza kuwa hawapo
 
Wanaweza kuwepo ila ni wachache sana.
Yaani mmoja mmoja.
 
Wale mastaa wa bongo muvi na muziki wanajifanya wajanja wa kulea watoto wao peke yao bila baba huku waliozaa nao wapo hai, watoto wao wakiwa watu wazima watakuwa na tabia za ajabu ajabu kwa kukosa malezi ya baba
 
Back
Top Bottom