Tafiti zinaonyesha 80% ya Wahalifu ikiwemo Wajambazi, wabakaji, wauaji, mashoga wamelelewa na Single Mothers yaani Fatherless

Mke sahihi, mume sahihi
Kumbe kuna wengine siyo sahihi?
 
Acheni kuwaandama hao watu jamani
Eti watoto fatherless
Hivi kuna mtu duniani humu kazaliwa bila baba
 
Acha kuandika utumbo,sasa nikuambie kitu hao watu ambao wamelelewa na single mothers Mungu kawabariki sana na ndio watu wenye bahati sana
Kinachoongelewa ni maovu, wewe unaongelea Bahati.
Anyway! hata shughuli za uchangu, kutumia au kusafirisha madawa ya kulevya, wizi, ujambazi, n.k. kuwa katika Kazi hizo na yenyewe ni Bahati.
 
Uko sahihi. Ila rekebisha andiko (e.g. typing error) lako ili liwe zuri zaidi.

Kwa kuwa umesema tafiti nyingi duniani zinasema hivyo, weka hata linki mbili tatu kuthibitisha ulichokisoma huko duniani.

Otherwise! Uko mulemule hata mimi nilishawahi Fanya utafiti mdogo sana, (utafiti wa kienyeji). Ndiyo nilichokibaini.
 
Uko sahihi. Ila rekebisha andiko (e.g. typing error) lako ili liwe zuri zaidi.

Kwa kuwa umesema tafiti nyingi duniani zinasema hivyo, weka hata linki mbili tatu kuthibitisha ulichokisoma huko duniani.

Otherwise! Uko mulemule hata mimi nilishawahi Fanya utafiti mdogo sana, (utafiti wa kienyeji). Ndiyo nilichokibaini.
 
Mim nawalea wanangu peke yangu kwa mifumo yangu nasita oa kamwe .
 

Unicaf University ukileta data za utafiti ambao ni zaidi ya miaka 5 iliyopita, huo utafiti unapigwa chini. Kama nimeelewa vizuri, data za huo utafiti ni mwaka 1996 - yaani miaka 28 iliyopita. Kwa msingi huu, data hizo ni disputable kwa maana kwamba miaka 28 ni mingi mno ku'rely' kwa hizo data. Labda kama ungeweza ku'support' huo utafiti kwa kuonyesha pia data za hivi karibuni. Kwa mfano, miaka ya 1990 hapakuwa na mitandao ya kijamii au tuseme hapakuwa na mambo ya kidijitali, ambayo pia yameleta mchango mkubwa kwenye mabadiliko ya tabia/mazoea ya watu for good or for bad. Ngoja na mimi nipumzike kwanza.
 
Hakuna cha athari , sioni faida ya malezi ya mama wa karne hii kwa watoto zaidi ya watoto kuwa mayai mayai.
Faida ya malezi ya mama ni kupata pisi Kali Kwa Mtoto Wa kike. Mkuu hutaki tupate pisi Kali kutoka kwenye familia yako?
 
Single mother wanasababisha mmomonyoko wa maadili?kafanye utafiti tena!!!
 
Mi naamini kabisa jukumu la maadali lipo chini ya mwanaume.
Haya mambo ya haki sawa ndo yanavuruga mila na asili ya mwafrika.
Kiafrika mambo ya haki sawa hayapaswi kuwepo, jamii imekosa mwelekeo.
Enzi hizo mtoto anaonywa au kulelewa na kila mtu, sasa hivi yupo wa kumchapa.
Taikuni upo sahihi kabisa mjinga ndo atakupinga, ona nchi inavyojiendea!
Sisi sio wa kuongozwa na mwanamke.
 

Umeongea vizuri sana.

Mitandao ya kijamii na utandawazi inachangia lakini elewa Baba na Mama Wakiwa kwenye familia ni rahisi kudhibiti watoto hata nyakati hizi za utandawazi kuliko mtoto akiwa analelewa na Mama pekee


Kazi kubwa ya Baba ni Ulinzi kisha huduma.
Mama anaweza kutoa huduma ila kwenye ishu ya Ulinzi hawezi
 

Mwanaume ni mlinzi wa koo ni Kweli.

50*50 iache iendelee kwa Watu ili wale wanaotambua Mfumo dume wazidi kutawala na kupata watumwa kupitia uzao wa 50*50
 
Utafiti wangu unatofautiana kidigo sana na wako kwani utafiti wangu unaonesha wahalifu wengi ni wanaccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…